Bukobawadau

HABARI MATUKIO KITCHEN PARTY YA HOPE KASIMBAZI:PHASE 2

It was unbelivable to most of the guests if this was a real cake!!!!because of its uniqueness it had,first of all the shape,decoration and well arranged colours on it.Most of the guests made cheerfull noise after realising that this was a delicious and a fantastic cake prepared for Hope the bridegroom and guests.
I conclude by saying that this cake was delicious and unique I have never seen in such kitchen parties here in town.
BUKOBAWADAU WE ARE SAYING THAT"ILIKUWA FUNIKA ILE MBAYAAAAAAA"!!!

When I remember how delicious the food was,i just find that have even changed the language
It was double happiness as you can see Hope's young sisters and close friends enjoying the meal.
Happiness continues even to our dearest guests as they are enjoying the delicious meal
Hope the bridegroom with her closest friends discussing how the party is going on.
Mama Hope (kushoto)wakati wa maombi
Mama shughuli maarufu kama Mama Stevin alifanya vyema kazi yako,yeye tu ni sehemu ya burudani tosha ukiachilia mbali utalamu wa kuongea pia mambo ya kufunda anayajua sambamba na kulekebisha,kukalabati au kubolesha Ndoa zilizo mashakani kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Bukobawadau blogspot.
Mtamboni yupo Mtaalam wa Mikato,full mixing,ni miongoni mwa madj anaye jua ni nini anakifanya anaitwa Dj Max alifanya watu wakatike kwenyenyimbo za Injiri
katika hili tumsifu Yesu kristo

Taarabu,Rusha roho,Mambo ya pwani kwa Bukoba ndipo tanulu lilipo.
Picha ya wadau wageni waalikwa.
Kutoka kushoto ni Judy,Joice na wa mwisho ni Happy Mwanga
Ni usiku wa aina yake ndani ya Club linaz
wadau wakitoa suport kwa Mama Kasimbazi.
Wadau pichani ni wadogo zake Hope....
Wadau Bi Pene wa Kagera studio na mdau Jane wa MTK
Wadau katika picha ni Mrs Mohamed na Mama Khadija.
According to the timetable provision of gifts was categorised in different categories such as GROUP GIFT,CLOSE FRIENDS GIFT,RELATIVES GIFT,PARENTS GIFT and finally INDIVIDUAL GIFTS.This brought awareness and courage to the bridegroom and lastly it showed co-operation from her friends.
Dancing in progress Mgeni Idrisa, Rehema Ramadhan and Happy Lameck kasimbazi could not sit and watch instead all of them got up and started to shake their bodies with full joy.
LEKA CHIKANKANEEEEEEEEE!!!!
Mama charles one of the guest in a well presentable view
The last but no the least one of the guest left all the guests in an amazing situation when she showed her skills and stamina in dancing
Next Post Previous Post
Bukobawadau