Bukobawadau

AJALI YA BUS LA MUHAMED TRANS BAADA YA KUGONGA LORI LA MCHANGA ENEO YA KYETEMA HII LEO

 Bus la Muhamed lililokua likisafiri kutoka Bukoba Mjini kwenda Mwanza lapata ajali  abiria wanusurika  kifo
Ajali hiiyo mbaya imetokea asubuhi ya leo majira ya saa 1 kasorobo eneo la kyetema  umbali wa km 15 kutoka bukoba mjini
Lori la mchanga baada ya kugongwa na bus la Muhamed.
 Hali ya  Lori baada ya kubamizwa ubavuni, likitaka kukata kulia kuelekea kwenye machimbo ya mchanga ,huku nyuma likija bus likiwa spidi

Ajali ni baada ya lori hili kupunguza spidi kutaka kuingia kwenye machimbo ya  mchanga ,inasemekana dereva alishangazwa kuona jamaa wa bus akiendelea kuja nyuma pasipo kujali ishara ya taa ndipo akasita na kitendo bila kuchelewa dereva wa BUS akamvaa ubavuni na kwenda kuangukia mbele
Lori likiwa bado barabarani , minofu kwishinehiii
Askari polisi na mmoja wa wanausalama barabarani
 Muonekano wa ndani ya Bus
 Mmoja kati ya majeruhi  walionusurika katika ajali Mdau Edwin Kamaleki (kulia )akiwa na mama yake na kaka yake muda mchache baada ya ajali
 Bus liloletwa kufaulisha abiria tayari kuendelea na safari ya mwanza.
 Machimbo ya mchanga ya kyetema ilipotokea ajali hii
 Katikati ni RPC  Kelenge    akidadavua  tukio kwa OCD  Mwakilatu
 RTO mzee Willy  katika sehemu ya  tukio
 Nambari za Lori  ni T814 AXF
 Mdau mwingine aliyenusurika Ndg Aziz Ijumba
 Manusura katika  ajali hii.
 Mmoja wa wafanyakazi wa kampuni ya Muhamed Trans akitoa ufafanuzi
 Bus la Muhamed Trans likisubiri kufaulisha
 Mashuhuda wa ajali hii
 Mashuhuda wakiwa bado katika hali ya sintofahamu
 Nambari za Bus zinasomeka T 883 ASU

BUKOBAWADAU BLOG TUNATOA POLE KWA MANUSURA WA AJALI HII!!!

INAENDELEA
Next Post Previous Post
Bukobawadau