Bukobawadau

MATUKIO KATKA ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI MH. Dk. CHARLES TIZEBA MJINI HAPA


 Mhe. Naibu Waziri Akiongea na Vyombo vya Habari Mara Baada ya Ukaguzi wa Uwanja wa ndege na Nyuma Ni Wananchi Wanaendele kubomoa Nyumba zao kupisha Ujenzi wa Uwanja.
 Mhe. Naibu Waziri Akikagua Bandari ya Bukoba Na Majini ni Mtumbwi ( Ekilagara) Tayari Kwa Safari Kuelekea Kisiwani
 Mhe. Dk. Tizeba Akiwahoji Wasafiri Katika Bandari ya Bukoba Kama Wanaridhika na Mazingira ya Bandari Hiyo ni Baada ya Kumwona Mtoto Amelazwa Kwenye Benchi la Sakafu.
Next Post Previous Post
Bukobawadau