Bukobawadau

JK AAPISHA MAKATIBU WAKUU NA NAIBU MAKATIBU WAKUU IKULU DAR ES SALAAM LEO

Rais Jakaya Kikwete na Katibu Mkuu Kiongozi Mhe Ombeni Sefue wakiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa ofisi ya Sekretariate ya Baraza la Mawaziri ambako watumishi wake wawili wameteuliwa kuwa manaibu Makatibu wakuu, ambao ni Injinia Angelina Madete (kulia kwa Rais) na Mhe. Consolata Mgimba (kushoto kwa Rais) mara baada ya kuapishwa Makatibu wakuu na Manaibu Katibu wakuu Ikulu jijini Dar es salaam leo
Rais Jakaya Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika picha ya pamoja na Makatibu wakuu na manaibu Katibu wakuu
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI


KUAPISHWA KWA MAKATIBU WAKUU NA 
NAIBU MAKATIBU WAKUU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Ijumaa tarehe 23 Agosti, 2013, katika viwanja vya Ikulu, amewaapisha Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu.

Ifuatayo ni Orodha ya Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu walioapishwa leo.


1. MAKATIBU WAKUU

Ndugu Sophia Elias Kaduma
Katibu Mkuu, Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika

Ndugu Jumanne Abdallah Sagini
Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)

Ndugu Uledi Abbas Mussa
Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda na Biashara

Dr. Patrick James Makungu
Katibu Mkuu, Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia

Ndugu Alphayo Japani Kidata
Katibu Mkuu, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Ndugu Charles Amos Pallangyo
Katibu Mkuu, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii

Ndugu Sihaba Said Nkinga
Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo

Ndugu Anna Tayari Maembe
Katibu Mkuu, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto


2. NAIBU MAKATIBU WAKUU

Ndugu Dorothy Stanley Mwanyika
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha (Fedha za Nje na Madeni)

Ndugu Consolata Philipo Mgimba
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi

Eng. Angelina Elias Augustine Madete
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais

Dr. Deodatus Michael Mtasiwa
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, (TAMISEMI) - AFYA

Ndugu Monica Lyander Mwamunyange
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Uchukuzi

Ndugu Regina Lucian Kikuli
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu

Ndugu Kagyabukama Edwin Kiliba
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, (TAMISEMI)

Ndugu Zuberi Mhina Samataba
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, (TAMISEMI) - ELIMU

Dr. Yamungu Kayandabila
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika

Prof. Adolf Faustine Mkenda
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha (SERA)

Ndugu Mwitango Rose Shelukindo
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa

Dr. Selassie David Mayunga
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Prof. Elisante Ole Gabriel Laizer
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo

Ndugu Amantius Casmiri Msole
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki

Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam.
23 Agosti, 2013
Next Post Previous Post
Bukobawadau