Bukobawadau

RUKUNYU KANYIGO NA CAMERA YETU

 Moja ya jukumu kubwa tulilo nalo katika kuendeleza libeneke la Bukobawadau Blog ni kufanya jitihada za makusudi zinazo tuwezesha kuwa  karibu na wadau wetu, hususani katika maisha ya kila siku ya hapa na pale.
Pitapita za Camera yetu zimekutana na wadau hawa wakiwa katika ziara ya matembezi katika eneo la Rukunyu huko kikomela mpakani mwa Tanzania na nchi jirani ya Uganda,pichani kutoka kushoto ni  Mdau Yakubu,katikati ni Haji Kazinja na wa mwisho ni mdau Majid Kichwabuta.
Taswira ya mwaloni Rukunyu.
 Anaonekana Mdau Salum Mawingo(al saqry) akinunua mboga
Samaki waliovuliwa muda mfupi kabla ya kupelekwa Sokoni
Pichani ni MzeeYakumbu,Mzee Kelvin, Mkubwa Deo Rugaibula,Mdau Deus na Haji Habuba Kagasheki.
Hapa ni Masikani kijijini Bukwali Kanyigo kwa Mlangira Lugaibula.
 Camera yetu ikiwa kijijini Bukwabi, wadau walipata fursa ya kutembelea 'Nyaruju' ya Buganzi
 Mdau Jumanne Bingwa akisikilizia kwa mbali.
Hapa utaratibu ni kuvua viatu kuelekea katika Msonge maarufu kwa jina la 'Nyaruju'haya ni mambo ya kimila pia ni ukumbusho katika  tamaduni  Kihaya
Next Post Previous Post
Bukobawadau