Bukobawadau

WILAYANI NGARA TAKUKURU YAWATAKA WANANCHI KUJENGA TABIA YA KUTOA TAARIFA ILI KUTOKOMEZA RUSHWA

 Wadau wakijadili kuhusu utendaji kazi wa TAKUKURU katika uchunguzi na udhibiti wa rushwa katika miradi ya maendeleo kupitia Radio Kwizera Ngara,Hayo yamejiri wakati wa mjadala wqa asubuhi njema Novemba 22, 2013 kupitia Radio Kwizera-Ngara. Mjadala ulikuwa unahusu namna TAKUKURU wanavyoshiriki katika kuchunguza na kuzuia Rushwa katika miradi mbali mbaili ya maendeleo
Pichani Kushoto ni Bw. Malanilo Simon akijibu swali na mwanahabari william Mpanju ndani ya studio za Radio Kwizera, Msimamizi wa matangazo ni Juventus Juvenary hayupo pichani
Kutoka kushoto ni Bw. Malanilo,katikati ni mwanahabari wa RK william Mpanju na kulia ni afisa kutoka TAKUKURU Ngara Bw. Daudi Kapama
PICHA NA NGARA KWETU

Next Post Previous Post
Bukobawadau