Bukobawadau

RAIS KIKWETE KUONGEA KWENYE MAZISHI YA MANDELA

Rais JK anatarajiwa kuongea kwenye mazishi ya Mandela yatakayofanyika kijiji cha Qunu Afrika Kusini. Ataongea akiziwakilisha nchi zilizo kuwa mstari wa mbele katika ukombozi wa kupigania Uhuru na hasa ubaguzi wa rangi wa Afrika kusini.

Source; The Citizen
Next Post Previous Post
Bukobawadau