April 2013

Bukobawadau

MBUNGE WA NKENGE, ASUMPTER MSHAMA ATAKA JUMAPILI ISITUMIWE KWA KUPIGA KURA

Mbunge wa Nkenge, Asumpter Mshama (CCM) ameitaka Serikali kutoa tamko la lini itaacha utaratibu wa kutumia siku ya Jumapili kwa ajili ya k...

BUKOBAWADAU 30 Apr, 2013 1

KAPOTIVE STAR SINGERS BUKOBA KUWASHA MOTO UBUNGO PLAZA

Ni uzinduzi wa album  mbili, zenye mchanganyiko wa nyimbo za kihaya, ZIJULIKANAZO KAMA Vol: 1-YESU NI MWEMA na nyingine ni Vol: 5 -NAKUSHU...

BUKOBAWADAU 30 Apr, 2013

MKUU WA MKOA WA KAGERA NA WAANDISHI WA HABARI WAJADILI MAANDALIZI YA SIKU YA MASHUJAA KITAIFA

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Kanali Mstaafu Fabiani Massawe akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari .kuhusu umuhimu wa maadhimisho hayo Mkoan...

BUKOBAWADAU 29 Apr, 2013

Interpol: No arrest yet of Alex Massawe - The Citizen

By Frank Kimboy The Citizen Reporter Dar es Salaam. Interpol Tanzania has dismissed reports circulating in sections of the social media ...

BUKOBAWADAU 29 Apr, 2013

GAZETI LA MWANANCHI LIMEANDIKA;Alex Massawe mtegoni nchini Afrika Kusini

Dar es Salaam. Mfanyabiashara maarufu Alex Massawe ameingia kwenye mtego wa Polisi wa Afrika Kusini ambao wamekuwa wakimsaka baada ya ku...

BUKOBAWADAU 29 Apr, 2013

PICHA ZA UTENGENEZAJI WA FILAMU MPYA YA 'THE BLACK UMBRELLA' CHINI YA TESO &SAM INTERTAINMENT

Kikubwa kutoka kwa Blogger wa mtandao wenu wenye swaga za kipekee katika tasnia hii ni kwamba tukitanguliza Numbani kwanza na Uzalendo mbe...

BUKOBAWADAU 29 Apr, 2013

UKO MOSHI PADRI AFUMANIWA LIVE NA MKE WA MTU AKIWA UCHI WA MNYAMA!!

Father Ngowi akiwa ameduwaa baada ya kufumaniwa akiwa na mke wa mtu aliyejulikana kwa jina la kijamii la Mama P. Father Ngowi akija...

BUKOBAWADAU 29 Apr, 2013 9

LIVE KUTOKA MIEMBENI BUKOBA TZ.

Safari za ndege zikiendelea kama kawaida,mapema ya leo. Muonekano wa kipande ambacho hakijakamilika ,matengenezo ya Uwanja bado yanaend...

BUKOBAWADAU 29 Apr, 2013 1

Kiongozi wa Kanisa azikwa akiwa hai mkoani Mbeya

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Diwani Athumani . Mbeya. Msaidizi wa zamani wa Padri (Katekisita) katika Kigango cha Kanisa Katoliki Ki...

BUKOBAWADAU 29 Apr, 2013 1

CHIRITOWAJA MTINDA :BUNGE HALIJATIBUKA,NI WATU WACHACHE WALIOTIBUKA.

Mh. Chiritowaja Mtinda(Mbunge ) Na Prudence Karugendo KUFUATIA kutetereka kwa hali ya kisiasa nchini, nimekutana na kuongea na mb...

BUKOBAWADAU 28 Apr, 2013

UZINDUZI WA CHUO DAN COMPUTER INSTITUTE NA ZOOM POLYTECHNIC COLLEGE BUKOBA,KATIKA NGAZI YA DIPLOMA NA UTOAJI VYETI KWA WAHITIMU

Dan Computer Institute ni chuo binafsi kilichoanzishwa na Mr Abdul Said Ndengeza mwaka 2003 na kusajiliwa chini ya sheria ya serikali ya...

BUKOBAWADAU 28 Apr, 2013 8