July 2013

Bukobawadau

DAWA YA UKIMWI SIO HII?

Ndugu yangu mpendwa,   Ni muda mrefu sasa toka nizisikie hizi taarifa za dawa inayotibu kabisa ugonjwa wa UKIMWI kugundulika huko Malawi. Na...

BUKOBAWADAU 31 Jul, 2013 3

BODI YAKANUSHA UVUMI KUWA WALIOOMBA MKOPO WA ELIMU WANAPASWA KUJIANDIKISHA UPYA.

Kumekuwa na uvumi kwamba mtandao wa uombaji mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (OLAS) ulikuwa na hitilafu ya kiufundi n...

BUKOBAWADAU 30 Jul, 2013

SAKATA LA PICHA ZA UCHI ZILIZONASWA KATIKA UKUMBI WA KANISA LA 0RTHODOX JIJINI DAR

Kiongozi wa Kanisa la Greek Orthodox duniani, Papa Theodor’s II ameamuru kufungwa kwa ukumbi uliopo ndani ya eneo la kanisa hilo lililopo ...

BUKOBAWADAU 30 Jul, 2013

PROGRAMU YA KUKUZA AJIRA KWA VIJANA WAHITIMU WA VYUO VYA ELIMU YA JUU.

PROGRAMU YA AJIRA Programu hii itatekelezwa na Serikali kwa kushirikiana na vyuo vya elimu ya juu nchini,Taasisi za fedha na wabia wa maende...

BUKOBAWADAU 30 Jul, 2013

29 JULAI RAIS KIKWETE MJINI BUKOBA

BUKOBAWADAU 30 Jul, 2013

KULA BILA KUNAWA Katika Ushirika wengine wanakula hata kwa miguu

Na Prudence Karugendo WAKATI Mkutano Mkuu wa CCM ulipomuidhinisha Mzee Ali Hassan Mwinyi kugombea urais mwaka 1985, wakati huo akiwa mgomb...

BUKOBAWADAU 30 Jul, 2013 1

HII NDIYO BARUA KUTOKA KWA MFUNGWA/WAFUNGWA WA KITANZANIA WALIOKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA HONG KONG-CHINA

Na Frank Makange Barua hii imeandikwa na kijana wa Kitanzania aliyekamatwa Hong Kong, China akijaribu kuingiza madawa ya kulenya nchini hu...

BUKOBAWADAU 30 Jul, 2013

PICHA ZETU ZA LEO #KIKWETU KWETU

Mdau msomaji unakumbuka nini na wapi kupitia picha hii Taswira za makovu ya vita baada ya kuzuka vita Mwezi Oktoba 1978 ya Tanzania na ...

BUKOBAWADAU 30 Jul, 2013 1

RAIS KIKWETE ATAWAZWA OMUKAMA (CHIFU) WA MISSENYI, AHITIMISHA ZIARA YA KAGERA

Rais Jakaya Kikwete akitawazwa kuwa Omukama (Chifu) wa Missenyi wakati wa ziara yake ya siku sita mkoani Kagera. Anayemsimika ni kiongozi ...

BUKOBAWADAU 30 Jul, 2013

‘Hivi ndivyo polisi walivyomuua baba’ -

KIFO cha marehemu, Selemani Mwinyimsanga, anayedaiwa kuuawa na askari polisi wa Kituo cha Oysterbay, jijini Dar es Salaam, kinaendelea kuibu...

BUKOBAWADAU 30 Jul, 2013

PINDA KUBURUTWA KORTINI ALHAMISI MASHTAKA YAKE TAYALI YAMEANDALIWA KAULI YA KIKWETE YAKWAMA KUMUOKOA

Na Mariam Mziwanda KITUO c h a S h e r i a n a H a k i z a B i n a d a m u ( LHR C ) , k ime t a n g a z a kumburuta mahakamani keshokutw ...

BUKOBAWADAU 30 Jul, 2013

Mrajis Msaidizi Kagera na njama za kuiangamiza KCU (1990) Ltd

Na Prudence Karugendo BAADA ya malalamiko ya muda mrefu ya wanaushirika wa KCU (1990) Ltd., chama kikuu cha ushirika mkoani Kagera, kuhusu m...

BUKOBAWADAU 30 Jul, 2013

WANUSURIKA KIFO BAADA YA KUKUMBWA NA DHORUBA ZIWA VICTORIA

Mzee aliyezama akiwa anatolewa kwenye boti ya marine na kuletwa nchi kavu.  Kijana wa mzee akiwa hoi baada ya kuokolewa na ameapa kwam...

BUKOBAWADAU 29 Jul, 2013 1

MASWALI MAGUMU Na Ansbert Ngurumo

MACHI 10, mwaka huu, Waziri wa Mambo ya Ndani, Emmanuel Nchimbi, alifanya kikao na waandishi wa habari katika ukumbi wa mikutano wa Makao Ma...

BUKOBAWADAU 29 Jul, 2013

HABARI YA MWANAMUZIKI NICK MINAJ KUVISHWA PETE HII HAPA;Nicki Minaj Shows Off Her Blinged-Out Ring While Out To Dinner With High School Friends

Nicki Minaj doesn’t think DJ Khaled is crazy enough to stalk her silly, nor has she taken a res training order out against the Miami DJ de...

BUKOBAWADAU 29 Jul, 2013

Tanzania inahitaji jeshi la kulinda amani

Na Prudence Karugendo JUMA lililopita nilindika kuhusu kinachodaiwa ni ugaidi. Nilipingana na tafsiri inayotolewa kiujanja kuwa ugaidi ndiyo...

BUKOBAWADAU 29 Jul, 2013