Bukobawadau

CHECK PICHA JINSI BUS LA MTEI LILIVYOCHOMWA MOTO NA WANANCHI

 Hii ni habari mbaya kwa Taifa lenye sifa ya Amani Tanzania watu wake wamegeuka wanyama na kuchukua maamuzi mikononi.Jana asubuhi bus la kampuni ya Mtei toka Arusha limechomwa moto maeneo ya Njia panda mnadani singida baada ya bus ilo kugonga pikipiki yani bodaboda na kuua watu watatu Hapohapo.
VIA MJENGWA.
Next Post Previous Post
Bukobawadau