Bukobawadau

VIDEO IBADA YA MAZISHI YA MAREHEMU AURELIA NYAKATO RUGANGILA KATIKA LUGHA YA KIHAYA YALIOFANYIKA JAN 21,2014

Kwa masikitiko makubwa Bukobawadau Blog tunatoa pole kwa ndugu na jamaa wa Marehemu Omwana Aurelia Nyakato Rugangila,hakika msiba huo ni mkubwa katika familia yenu tunamuomba Mwenyezi mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema poponi Ameen!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau