Bukobawadau

'KATARUGA POOL TOURNAMENT' HATUA YA NUSU FAINALI NDANI YA COFFEE TREE HOTEL LEO FEB 12,2014

Mashindano ya mchezo wa 'Pool  table' yanayoendelea katika hotel ya New Coffee Tree Iliyopo Mjini hapa ya kumtafuta Bingwa wa Coffee Hotel chini ya udhamini wa Mdau Ben Kataruga yamefikia hatua ya nusu fainali leo Jumanne Feb 12,2014.
 Changamoto za kiushindani zikiendelea.
Mchezo wa leo hatua ya nusu fainali hatua ya nusu fainali
 Mchezaji wa Pool table Ndg Wangubo akifurahia mitego dhidi ya mpinzani wake.
Mchezaji  Reuben Sunday akiwa katika mpambano.
 Mchezo mkali kati ya Steven Byabato na Ally ukiwa unaendelea.
 Mdau Steven Byabato akimkabili mpinzani wake.
Mshiriki wa  mashindano haya ndugu Ally akitafakari
 Ushikaji wa fimbo ni kipimo tosha kumjua  mchezaji mzuri
Mshindi wa mashindano haya atatokana na alama atakazo zipata dhidi ya wenzake.
 Mmoja wa washiriki wa mashindano ya 'KATARUGA POOL TOURNAMENT' Mdau Rackson Kahabuka pichani
Wadau wakifuatilia mtanange wa 'Pool Table'
Jitihada za mshiriki katika Tournament hii  Ndg Benny pichani katika kuakikisha anabaki.
 Fainali ya Mashindano haya itafanyika siku ya Jumamosi Feb 15,2014.
 Hivi ndivyo ilivyokuwa taswira ya Mashindano ya 'KATARUGA POOL TOURNAMENT' hatua ya nusu fainali, kumtafuta Bingwa wa Kiwanja hiki cha wastaarabu New Cofee Hotel
 Muamuzi wa mashindano haya ni Mtaalamu Mzee Kabaijo 
Ratiba ya  na utaratibu mzima wa mashindano haya

Ndani ya New Coffee Tree Hotel wadau wakiendelea kufurahia siku.
 Mhasibu wa New Coffee Tree Hotel.
 Ndani ya ofisi ya Mhasibu wa New Coffee Tree Hotel.
Mchana wa leo Camera yetu New  Coffee Tree Hotel inakutana  na Mdau Cathbert Basibila(kushoto) Ndg Wilbrod Mutafungwa na Mdau Kamuzora.
 Mdau Basibila pichani kushoto, Ndg Wilbroad Mutafungwa (Mkuu wa Polisi Kinondoni), Mdau Jamal Kalumuna (Founder Jamco Blog) wa mwisho kulia ni mdau ambaye katoa angalizo mapema kwamba kutaja jina lake hapendi kwa kihaya amesema ' DEKA MTAMBUNGYA '!!
 Mmoja wa wahudumu  wa New Coffee Tree Hotel Bukoba.
 Hivi ndivyo wanavyo onekana wadau katika hili na lile Via Bukobawadau Blog.


Next Post Previous Post
Bukobawadau