Bukobawadau

KATIKA PICHA AJALI YA MIKESE ILIYOPELEA KIFO CHA MDAU UMUDI KALAMULAHI LEO FEB 23,2014


Ajali mbaya  ya magari mawili yaliyogongana uso kwa uso katika eneo la mikese Morogoro na kupelekea kifo cha dreva mmoja ,Marehemu Ubuhi Kalamulahi wa Ilogelo Kamachumu,Moja ya gari hilo likiwa Lori la mafuta kama inavyo onekana pichani  hakuna cha kufanyika kutokana na moto mkubwa na moshi wakati magari yakiteketea.
 Mlipuko mkubwa wa matanki ya mafuta.
Askari wa kikosi cha zima moto wakijaribu kuuzima moto huo.
Next Post Previous Post
Bukobawadau