Bukobawadau

KUTOKA MAGAZETINI LEO JUMATATU FEB 10,2014

SHUKRANI KUBWA KWAO THE WALKGARD TRANSIT HOTEL BUKOBA
The Walkgard Transit Hotel.
ITEMBWE GENERAL SUPPLIES wasambazaji wa ving'amuzi vya Star Times Mjini Bukoba,Star Times wana lengo la kuifanya kila familia ya Afrika iweze kununua, kutazama, na kufurahia zaidi matangazo ya televisheni ya digital kwa muda na wakati sahii
Kampuni ya StarTimes inakubalika na nembo yake inajulikana na kila familia na kwa kila mtu!!!!!

 Oxygen Bar& Bar.
 FEB 15, 2014 - Itakuwa ni usiku wa aina yake kwa wakazi wa mji wa Bukoba na maeneo ya jirani,watakapo takiwa kujua nani mkali kati ya DAYNA NYANGE TZ V/S CINDY SANYU WA UG .Usiku huo hatuangalii Vivazi au nani anamiliki nini,ama yupi ni hot zaidi ya mwenzake,tunaangalia kitu kimoja tu,Nani mkali wa kuimba na kucheza Jukwaani?


Next Post Previous Post
Bukobawadau