Bukobawadau

NCHINI UGANDA WANAWAKE WAANDAMANA KUMPINGA RAIS WA UGANDA YOWERI KAGUTA MUSEVENI

Baada ya rais Yoweri Museveni wa Uganda kupitisha sheria ya marufuku kwa wanawake Kutembe utupu barabarani, na kutaka wanawake wa nchi hiyo kujistili miili yao.
Wanawake hao eti wameandamana na kudai sheria hiyo inawanyanyasa wanawake.
KATIKA HILI MUSEVENI KAONYESHA MSIMAMO WA KUPAMBANA NA TABIA ZA KISHENZI!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau