Bukobawadau

YALIYOJILI USIKU WA VALENTINE NDANI YA LINAS NIGHT CLUB BUKOBA FEB 14,2014

Wadau wa Mji wa Bukoba wameweza kusherekea usiku wa Valentine Day kwa style ya aina yake.
 Meza ya wageni walioshiriki shangwe za usiku huu Feb 14,2014
Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya usiku wa Valentine akiteta jambo na DJ Max.
 Mh. Mbunge Balozi Khamis Kagasheki pichani kulia,amejumuika na wadau mbalimbali katika kusherekea hafla hii, pichani kushoto ni Ndugu Deo Lugaibula
 Mh. Balozi Kagasheki na Mh. Bingwa Jumanne.
Anaonekana mwenye furaha  Mh. Janath Kayanda ,Katibu wa CCM wilaya ya Bukoba Mjini.
 Bi Anitha Mtensa na Mama Linas pichani.
 Mc Jerry akifungua Champagne
 Huduma ya chakula ikiendelea kwa wageni mbalimbali.
Mdau Subira Kabyemela pichani akipata huduma ya chakula.
Mpango mzima wa mapishi ni kutoka kwa Mama Rehana Gullam maarufu kama mama Mohamed,nje wa  wa chakula kizuri na kitamu,yeye ndiye Chaguo la wadau kwa shughuli zote unique
 Pichani Kulia ni Bi  Rihana Gulam, mtaalam wa mapishi ya kiswahili na kihindi shughuli yake anatumia wafanyakazi wao wafanyakazi wahindi na waturuki.
 Mdau Harubu akipata huduma mchanganyiko wa Sambusa na Biriani.
Mama Moha kama kawaida.
 Kuelekea kupata msoni.
Mdau msomaji katika kukupatia kile kinachostahili. tayari picha 200  zipo katika page yetu.
 Sehemu ya waalikwa wakipata huduma safi ya chakula.
Taswira mezani namna mahakuli yalivyo pikika.
 Mbele ya macho ya Camera yetu wakati wakiendelea kupata msosi.
 Mr & Mrs Gilbart Georg( G SMART) wao ndio Best Couple kwa usiku  huu wa Valentine.
 Washindi wetu wa kwanza kabisa  wakiwa wanachukua kasi mara  baada ya kupokea zawadi yao ya jiko la gesi ,hawa ni mume na mke walioshiriki usiku na waliopendeza(best couples)
 Bi Lilian Peter Mwise pichani katikati akiwa na Mr & Mr Denis ambao ni washindi maalumu kufuatia kupendeza kwao  kiasili kwa  kuvaa vazi la kitenge.
 Hii ni moja ya Couple iliyotokelezea  ile mbaya
 Hakika  jamaa wamependeza ,wamevaa  nguo nzuri na za heshima, Bukobawadau blog tunachoweza kusema ni kwamba kila la kheri Ndg Denis na Bi Vick
 Bi Maua Daftari wa Ramadhani anakabidhiwa zawadi ya wane kutoka kwa Mr Bube ambaye ndiye mwenyekiti wa hafla hii ,kama mshindi wa kucheza Muziki wa kale.
 Zawadi ya wageni waalikwa alikabidhiwa mwanamama wa kizungu Bi Lous pichani
Zawadi inatolewa kwa mwanadada aliyevaa na kupendeza gauni malidadi kwa usiku wa leo.
Bi Nanc Nancy Muhamed mara baada ya kukabidhiwa zawadi pasi aina ya ZEC na ua lenyekuvutia
Bi Nanc Nancy Muhamed mshindi wa  evening dress, dah hakika anaonekana ametoka out of place kwa kwenda front!!!
 Mshereheshaji wa hafla ya usiku wa Valentine,Mc Jerry katika picha na Mwanadada Nanc Nancy Muhamed.
 Ya Kale Ni Dhahabu Mr Bube atoa Burudani kali ya kutoka Democratic Republic of  Congo ,style utadhani Congolese soukous musician  kama vile  Kanda Bongo Man.
 Mziki Tamu wa Kilingala
 Mbele yetu ni kamati nzima ya Maandalizi wa Swagar hii ya kipekee. Makofi kwao tafadhari
 Anaonekana Mh. Diwani Richard akifurahia jambo
 Bi Jamila wa Jamco pichani kulia.
 Mr & Mrs Mchuruza.
 Bi Betty Nangai Lweyendera na Mr & Mr Deo Lugaibula.
 Ni usiku wa aina yake, Zawadi nyingi zimetolewa, burudani za kila aina, mashindano ya kucheza Olds na ngoma za kisasa, na watu ni wengi ...mdau endelea kuwa nasi tunaendelea ku upload.....
 Mada ya fursa kutoka kwa mwenyekiti Mr Bube,Mkurugenzi wa Shule ya Leo leo .
 Rackson Kahabuka mwakilishi wa TBL.
 Gafla Mc wetu akajikuta na mtu wa kuongelea Sehemu ya watu maalumu.
 Matukio yote yalienda live kutokana na juhudu za Ndugu Jamal Kalumuna kupitia Jamco Blog BLOG vile vile Live kupitia Bukobo Cable Tv via Jamco Production
Mratibu wa shughuli hii Ndg Jamal Kalumu (Mkurugenzi Jamco Production & founder Jamco Blog, hapa akifanya mnada wa keki kwa ajili ya kuwachangia watoto wanao ishi katika mazingira magumu.
 Pichani anaonekana mwanadada Salome Chui na London yeye ni mtu wa fedha, ni wachache wanao aminika kwenye amana.
 Pichani tunapata taswira watu walivyopendeza,Watu Wasafiii kingine nilicho kishuhudia ni manukato.watu  Wananukiaaa sio masihara.
 Masikini halali mchana.


 Muonekano wa kitu kike.
Mashindano ya kucheza twist
 Hatua ya kwanza mchujo ukafanyika.
Wanaonekana Madj wakikubari shughuli ilivyokuwa pevu.
 Mezani anaoneka Mdau Trayford, Ndg Mshobozi na Dada Pascazia Barongo.
 Taswira ukumbi ulivyo pambwa na watu.
 Mdau Sadi Idi pichani kulia anafuatiwa na Afisa utamaduni wilaya ya Bukoba.
Mwanadada Devotha katika meza moja na wadau.
Mdau Mr Kagya.
Mwanadada Vick mwenye utulivu, pozi na siha.
 Baada ya hapo ni Mwendo wa Kuserubuka na Love Song zote zenye ujazo,Ikaanza P.Square – Taste The Money (Testimony)
 Serubuka ya Mwasiti ikachukua kasi
Pharrell Williams "Happy" / Outkast "Hey ya" Remix Raquel
 VIA BUKOBAWADAU BLOG No. 1 kwa kuyatendea haki  matukio ,Shukrani kwako wewe msomaji kuendelea kutembelea!!!


Next Post Previous Post
Bukobawadau