Bukobawadau

FULL TIME:Paris Saint-Germain vs Chelsea-PSG 3-1 CHELSEA

Kocha wa Chelsea Jose Mourinho akipima upepo ndani ya Uwanja Parc des  usiku wa leo.

PSG wanapata bao la kwanza kupitia kwa mchezaji  Ezequiel Lavezzi pichani (katikati) .

Pichani kushoto ni kochwa wa zamani wa Chelsea,Meneja wa timu ya taifa Brazil Luiz Felipe Scolari
Rais wa zamani wa Ufaransa  Nicolas Sarkozy pichani (kushoto)akifurahia soka.
Hekaheka uwanjani.
 Thiago Silva anamchezea vibaya Oscar na kusababisha penati
Bao la kusawazisha la timu ya Chelsea limepatikana kwa njia ya Penati iliyofungwa na  mchezaji Eden Hazard.
 Wachezaji wa Chelsea wakishangilia baada ya kusawazisha bao dhidi ya  PSG
Taswira uwanjani wakati mchezaji wa  PSG,Zlatan Ibrahimovic anaonyesha ukanjanja kwa kutumia kiwiko na kumuumiza John Terry  sehemu ya kichwa.
Kocha wa Chelsea ,Jose Mourinho katika hali ya sintofahamu.
Mchezaji David Luiz (kulia) anapoteza malengo na kujifunga mwenyewe   PSG 2-1 Chelsea
 Haikuwa fauru wakati Mchezaji wa PSG Edinson Cavani (katikati) anaangushwa  na Gary Cahill ndani ya bokisi langoni mwa chelsea.
 Anaonyesha dalili za maumivu  mchezaji  Zlatan Ibrahimovic wa Paris Saint Germain
 Wachezaji wa  PSG na kocha wakati  Zlatan Ibrahimovic (katikati) akitoka nje ya uwanja.
Next Post Previous Post
Bukobawadau