Bukobawadau

SHUGHULI YA MAZISHI YA MAREHEMU DATUS BUBERWA NYAMWIHULA APRILI 26,2014

Muonekano wa Jeneza lenye mwili wa Marehemu Datus Buberwa Nyamwihulo.
 Padre akiongoza Ibada ya mazishi ya Marehemu Datus Buberwa Nyamwihula, iliyofanyika Kijijini Mbale -Bubuga ndani ya Kata ya Kitobo Wilayani Missenyi, Mkoani Kagera.
 Mr&mrs Christopher Chichi Nyamwihura katika Ibada ya Mazishi ya Marehemu Datus Nyamwihula


 Pichani kushoto ni Bi Elice Theobard mke wa Steven Nyamwuhula,akiendelea kushiriki Ibada ya Mazishi ya Marehemu Datus Buberwa Nyamwihula 
 Sehemu ya wanakwaya wa kanisha la Kashasha.


 Mzee Kabyemela na Ndugu yake Mzee Abdul
 Ndugu wa familia ya Nyamwihula wakati Ibada ya Mazishi ikiendelea.
 BI Jeanifer Murungi Kichwabuta, Ndugu Mshobozi Barongo ,Ndugu Alex Mtiganzi na wadau wengine wakiendelea na Ibada ya Mazishi ya Marehemu Datus Buberwa Nyamwihula
 Mamia  ya watu wameweza kushiriki Ibada ya mazishi haya.
Video ya shughuli ya mazishi haya inapatika kwa siku ya Kesho hapa hapa Bukobawadau Blog.
 Sehemu ya Waombolezaji wa Msiba wa Marehemu Datus
 Katika Jeneza inaonekana picha ya Marehemu Datus Buberwa  Nyamwihula
Mc Frances Mtungi ndiye muendeshaji wa shughuli hii akitoa angalizo.
 Sehemu ya wadau yupo Bi Eunice Luangisa, Ndg Mshobozi , Ndugu  Alex na Mdau kutoka Jijini Dar es salaam aliye sindikiza mwili wa Marehemu
 Kupitia ukurasa wetu wa FACEBOOK  utapata taswira kamili kwa picha zipatazo 100.
 Mtu na Swahiba wake pichani ni Haruna Goronga na Mdau Mtayoba
 Mama Shamila, Mdau Ruge Masabala na Mdau Rahym Kabyemela
 Ibada ya mazishi ndio bado inendelea....
Anaonekana Mama Shakila pichani katikati
 Watu bado wanaendelea kufika  msiba hapa wakati Ibada ya mazishi ikiendelea.
Ustadhi Dauda  rafiki wa familia ya Marehemu Datus Buberwa Nyamwihula.
 Haji Mugunda pichani kushoto
Ni waombolezaji waliojumuika katika shughuli ya Ibada ya msiba huu.
Wadau mbalmbali wenye nasaba na familia hii.
Marafiki wa Karibu wa familia ya Marehemu Datus Buberwa Nyamwihula.
 Joram Nyamwihura(Maarufu kama kitobo) picha kushoto
 Mdau Jirani kabisa hapa nyumbani Kijijini Mbale -Bubuga
Taswira Ibada ya Mazishi ikiendelea
Ndugu Majid Kichwabuta na Ndugu Rahym Kabyemela.
 Baada ya Ibada kilichofuata ni historia ya Marehemu iliyosoma na Kaka Mkubwa wa Familia Dkt. Nyamwihula.
 Msemaji wa famili akitoa neno la shukrani kwa wadau wote na kuongeza historia fupi ya kuugua kwa marehemu mpaka mpaka mauti yanamfika
Akiendelea kutoa neno Ndg Christopher Chichi anapata na simanzi kubwa pale alipogusia  'kuugua kwa muda'kitendo kilicho pelekea Simanzi na huzuni kutawala , ndipo mkewe aliponyanyuka kwa utayari wa kutoa support kama utavyo ona katika video kupitia Bukobawadau Blog.
 Familia ya Mzee Masabala na Mzee  Samweli Luangisa zimepata fulsa ya kutoa neno na shukrani kutokana na nasaba za familia hizi na familia ya Nyamwihula.
 Ndugu wa marehemu wakiwa wameinamisha vichwa chini kwa huzuni
Muda mchache kabla ya Kuelekea eneo la Kaburi
Jeneza lenye mwili wa  Datus Buberwa Nyamwihula likiwa eneo la kaburi
  Utaratibu wa Utayari katika shughuli ya mazishi haya ukiendelea
 Ndugu jamaa na marafiki wa familia wakiendelea na taratibu za mazishi
 Hapa ni jeneza likiwa linaingizwa kaburini!!
Jeneza likiwa tayari ndani ya kaburi
 Padre akiongoza shughuli ya  mazishi katika eneo la makaburi lilipo shambani, Mazishi hayo yamehudhuriwa na mamia ya watu kutoka pande mbalimbali nje na ndani ya Mkoa wa Kagera
Ndugu Christopher Chichi ambaye ni kaka wa Marehemu Datus Buberwa Nyamwihula,akiweka udongo kaburini
 Shemeji wa marehemu pichani kushoto na Dada wa Marehemu ni kulia  Dada wa Marehemu  Datus Buberwa Nyamwihula wakishiriki kuweka udongo Kaburini
 Ndugu Joram Nyamwihura(kitobo) akiweka Udongo Kaburini
 Mdau Bushira akiweka  Udongo kaburini.
Ndugu jamaa na marafiki wa familia wakiendelea na kushiriki mazishi.
  Zoezi la mwisho ni utaratibu wa  kuweka mashada ya maua katika kaburi la Marehemu Datus.
 E ee Bwana Mwanga wa Milele umpe, APUMZIKE KWA AMANI!!





Next Post Previous Post
Bukobawadau