Bukobawadau

TASWIRA MJINI BUKOBA APRILI 1,2014

Kutoka mitaa ya  Miembeni Bukoba mkabala na uwanja wa Ndege,pichani linaonekana Jengo lililokuwa la kiwanda cha  soda “West Lake Bottlers”
 Muonekano wa Jengo la kiwanda cha soda “West Lake Bottlers”,moja ya kiwanda kilianzishwa mwaka 1990.Kwa hivi sasa kiwanda hiki akitengenezi tena Soda na hakuna shughuli inayo endelea toka mwaka 2006.

Mpaka sasa tunaendelea kujivunia viwanda vichache mkoani hapa kama Kiwanda cha kukoboa Kahawa cha BUKOP kinacho fanya kwa msimu, Kiwanda cha  cha TANICA Kiwanda cha sukari cha KAGERA,Kiwanda cha Samaki Kemondo,Kiwanda cha kusindika chai cha “Kagera Tea Company”.Viwanda viwili vya Maji safi,Asili na Kabanga na sehemu ya Karagwe ambapo viwanda 3 vya kukoboa  Kahawa vimeongezeka.
 Eneo la uwanja wa ndege wa Bukoba uliopo kata ya Miembeni Manispaa ya Bukoba takwimu zinaonyesha Idadi ya abiria wanaotumia usafiri wa anga imeongezeka kwa asilimia kubwa.
 Hapa ni Miembeni  masikani kwa Haji  Haruna Mgura,maarufu kwa jina la Kabaka.
Mitaa ya Miembeni ndani ya Manispaa ya Mji Bukoba
 Hali ya ukijani ndani ya Kata Miembeni
 Njia panda ya barabara ya Kashozi
 Ujenzi wa jengo la ghorofa nne unao endelea mjini hapa ni Mali ya Mdau Ndg Thadeo Mutembei,chini ya usimamizi wa Ndg  Sotar Rwebangira meneja wa Mutembei holding Co Ltd.
Hakika mwekezaji huyu Ndg Thadeo Mutembei anastahili pongezi.
 Kushoto ni Jengo la Mdau Hamis Kilombe lililopo barabara ya Kashozi .
 Kijana Edgar kama alivyokutwa na Camera yetu mitaa ya Majengo mapya.
 Sehemu ya wadau wakicheck na Camera yetu .
Mitaa ya Majengo Mapya Kashai.
 Barabara kuu kuelekea Kashai , Mafumbo, Nyamkazi, haya ni maeneo ya Majengo.
 Kanisa Kanisa la Pentecostal Assembly of God (PAG) Mjini hapa lililopo maeneo ya Majengo
 Majengo mapya ya Mzee Laurent
 Pita pita za hapa na pale.
 Mkabala na kwa Kugis hapa ndipo zilipo ofisi za StarTimes,barabara ya Kashozi.
 Muonekano wa Barabara ya Arusha, Mjini Hapa
Kwa Haji Gulam Rostamali.
  Mkurugenzi  Endeavour group ltd kiwanda cha kutengeneza nguo kilichopo maeneo ya  kibeta  Mjini hapa
 Mwanadada Azath H Hussein akicheck na Camera yetu Aprili 1,2014


 

.
Next Post Previous Post
Bukobawadau