Bukobawadau

TASWIRA USIKU WA MR&MRS MODY SALUM (MAWINGO) AL-SAQRY

 Baada ya shughuli ya Ndoa na tukio la harusi iliofanyika Jumamosi  May 4,2014.Nyumbani kwao Bwana Harusi,Kijijini Kamachumu ambapo theluthi tatu ya wadau halisi wa mji huu waliamia huko kwa muda kuweza kutoa ushirikiano kwa ukaribu na familia ya Mzee Salum Mawingo(Al-Saqry).
 Wakati Harusi ya kamachumu ikiendelea kuwa gumzo na kumake headline.
Ufuatao ni mwendelezo wa matukio katika Hafla ya kuwapongeza Maharusi wetu,iliyo andaliwa na Wanawake wa mjini Bukoba, marafiki wa familia ikiwa ni zawadi kwa Mama Mzazi wa Bwana Harusi , Mdau Mody Salum.
 Meds wakiongoza na Amina Salum na Faiza Salum ambao ni wadogo wa Bwana Harusi, Bwana  Mody Salum mbaye leo ni shughuli yake iliyo andaliwa na wanawake wa mjini hapa.
  Mama mzazi wa Bwana harusi akiingia kwa furaha ukumbini
Bwana Harusi wetu Bw. Mody Salum na Mkewe Bi Bilkis katika pozi na meds.
 Muda mchache kabla ya tukio la kukata keki,Moja ya tukio maalumu ikiwa ni siku maalumu ya harusi ya wawili hawa.
 Tukio la  Maharusi wetu Bw. Mody na Bi Bilkis kukata keki.
  Tukio la kumlisha Mama Keki kama ishara ya upendo na shukrani.
  Bibi Harusi akimuweka sawa Mume wake.
 Mpaka nakwenda mitamboni nilikuwa sijaelewa ni vipi ntaweza kuitolea maelezo shughuli ,kutokana na pozi za maharusi na swagga tofauti zenye kupendeza na kuvutia.
 Wanaonekana Shangazi wa Bwana Harusi
 Bi Asha, sehemu ya waandaji wa shughuli hii.
Mungu anapokuacha uzaliwe duniani, hakika ujue kabisa ya kwamba amekwisha tembea na wewe katika maisha yako, amesharatibu mambo yako na yako hatua kwa hatua
 Mama Stella pichani Rafiki  wa familia akifuatilia kinachoendelea ukumbini
Kupitia BUKOBAWADAU GROUP utapata picha 200 za tukio zima via facebook,Na Picha 100 zaidi juu ya  tukio hili  zipo tayari na zinapatikana katika ukurasa wetu wa facebook , tembelea 'Bukobawadau Entertainment Media'tupia like katika ukura huo uweze kuwa nasi.
 Upande wa mpokezi alisimama vyema Bi Lily ( Mama Rahym)
Mikakati ya hapa na pale alijipanga Mama Sauda maarufu kama (Mama wa Majengo)
 Bi Anitha  na Mama Linna , sehemu ya waalikwa ukumbini
 Meza ya Bena na Mama Muhazi.
 Anaonekana Mdau Camal Adalla ( Al Saqry) pichani kushoto,akisema;'Hii imekaa vizuri '
 Walivyo pendeza Waalikwa ukumbini.
Marafiki wa Mama Mody wakitoa zawadi zao.
 Zoezi la zawadi kwa Mama Mody likiendelea
 Swala zima la matukio .
 Dada Mdogo wa Bwana Harusi akipokea zawadi za Mama yake.
 Muonekano wa matukio mbalimbali ukumbini.
Neno la Shukrani kutoka kwa Mama Mody Salum.
 Baada ya Zoezi la Marafiki wa Mama Mody kutoa zawadi zao, linafuatia zoezi la Shangazi kupokea zawadi kutoka kwa Marafiki zake.
 Mr & Mr Mody Salum
 Ndugu wa familia.
Kama Kim Kardashian na West ndivyo wanavyo onekana  Mody na Biliks
Bonge la Suti ya Bwana Harusi Utulivu wa Bi harusi sura yale inaonekana katulia , pia na gauni lake.
 Swagga hadimu , leo Mody kadhihilisha kile tulicho kitalajia, 'Big up kwako Mzee Mody'
 Hakika Bibi Harusi kalitendea haki gauni lake.
 Wakati maharusi wanaelekea kupata msosi, Burudani inaendelea.
Maharusi wetu wakielekea kupata Huduma ya Chakula.
 Huduma ya Chakula ikiendelea
 Taswira mbalimbali Wageni wakipata huduma ya Chakula
 Mh. Mwajabu na Mh. Ashura wakipata msosi
 Bi Shukru akipata huduma ya Chakula.
 Maharusi wakilishana chakula.
 Amma kwa hakika katika furaha ya kwanza ni pale Allaah Alipotuhalalishia kuoa!
 Katika picha ya kumbukumbu na maharusi wetu leo.
 Maharusi katika picha ya pamoja na(Mama Mody) Mama Mzazi wa Bwana Harusi
Mama Muhazi katika picha na Familia ya mtoto wa Mzee Adella ndg Camal pichani kushoto
 Hivyo ndivyo walivyo chomoka Meds
 Safi , Iko poawa , hakika wamekaa vizuri.
 Sehemu ya waalikwa ukumbini
 Picha 100 zaidi juu ya  tukio hili  zipo tayari na zinapatikana katika ukurasa wetu wa facebook , tembelea 'Bukobawadau Entertainment Media'
 Hongera Sana Mdau Mody na Mkeo,masha Allah Mola awajaalie maelewano mapenzi na maisha mema
 Taswira ukumbimini kupitia Bukobawadau Blog.
 Mdogo wa Bwana Harusi pichani
 Kushoto ni Mday Faiza Chichi Salum, na Kaka yake Bwana Mody Salum
 Inshallah Mwenyezi mungu atawajalia na Awape dhuriyt swalhin!!!
 Bukobawadau Blog tunawaombea Maulana awajalie kizazi bora pia awajalie kheri na salama ktk ndo yenu!!



Next Post Previous Post
Bukobawadau