Bukobawadau

KAGONDO YASONGA MBELE YAWATOA IJUGANYONDO KWA PENATI 4-3 #KAGASHEKI CUP 2014

Ni Jumatatu ya July 28,2014,Michuano ya Kombe la Mbunge ‪#‎Kagasheki Cup 014 imeendelea Uwanjani Kaitaba ambapo Timu‬ ya Kagondo wamefanikiwa kukata tiketi ya kucheza nusu fainali, kwa kuwatoa Ijuganyondo kwa penati 4-3 baada ya kwenda sare 2-2 ndani ya dakika 90 za mchezo 
Sehemu ya Mashabiki wakiwa uwanjani kushuhudia mcheze wa robo fainali ya michuano ya Kagasheki Cup 2014 iliyochezwa katika uwanja wa Kaitaba Mjini Bukoba Jioni ya leo July 28,2014
Mtanange ukiendelea mwanzoni mwa kipindi cha kwanza
Mlinda Mlango Idrisa wa Ijuganyondo anafanya kuokoa Mpira.
 Mabadiliko yanafanyika kwa Upande wa Ijuganyundo
 Sehemu ya Mashabiki Jukwaa Kuu wakiendelea kufuatilia mechi
 Mashabiki wakiendelea kufuatilia kinachojili Uwanjani
Kushoto ni Mtangazaji Yusuph Abed 88.5 Kasibante Fm Radio,kulia ni Ndugu Optaty Henry(Katibu)
Mlinda Mlango wa Kagondo akiwa kajipanga vyema langoni mwake.

 Kagondo wanapata bao la kusawazisha 1-1
Wachezaji wa Kagondo wakishangilia bao lao la kusawazisha
Tayari hali imekuwa ndivyo sivyo kwa Ijuganyundo, wanajaribu kukimbizana na muda.
 Mdau Al Amin Abdul na Ndugu Didas Zimbihile wakifuatilia mchezo
Katika Benchi la Ijuganyundo anaonekana Mdau Gwalu, wa Kikosi Cha Mizinga
 Mdau Enock
 Kijana Ashuru katika pozi
 Jukwaa A mashabiki wakicheck na Camera yetu
 Meza Kuu
 Mashabiki Jukwaa la Golani
 Katikati ni Kiunge wa timu ya Bilele Fikili David, kushoto kwake ni Yusuph Kikoti.
 Taswira mbalimbali upande wa mashabiki
 Katika hili na lile anaonekana Jamal Kalumuna, Jumanne Bingwa na Faustin Rutta.
 Mdau Al Amin akiendeleza maongezi na Ndugu Didas Zimbihile na Ndugu Thomas
 Blogger Faustin akifanya updates,papo hapo
 Hii ni moja ya penati iliyo leta Changamoto kwa Kipa wa Kagondo
Baada ya Penati ya Mwisho
Ni furaha kwa Kagongo kufudhu hatua ya Nusu fainali , michuano ya Kagasheki Cup 2014
Mashabiki wakimnyanyua kwa kumpongeza mfungaji wa benati ya Mwisho na kupelekea matokeo ya 4-3 baada ya kwenda Sare ya 2-2 mnamo dakika 90 za mchezo.
.#BUKOBAWADAU BLOG inakutakia sikukuu njema ya Eid-el-Fitr popote pale ulipo, na inawapongeza waumini wote wa dini ya Kiislamu kwa kukamilisha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Next Post Previous Post
Bukobawadau