Bukobawadau

MAFUNZO YA KUPUNGUZA ATHARI ZA UKAME


Mkuu wa Wilaya ya Same Bw. Herman Kapufi akisisitiza jambo juu ya Mafunzo ya  Mradi wa kuijengea Jamii Uwezo Wa Kupunguza Athari Za Maafa katika Wilaya yake  wakati timu ya Wataalam Kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania na Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika walipo mtembelea Ofsini kwake kabla ya kuanza mafunzo hayo leo, Hedaru Wilayani Same.
Mratibu kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu wa Mradi Wa Kuijengea Jamii Uwezo wa kupunguza Athari Za Maafa kwa Mikoa iliyoathirika zaidi na Ukame Bw. Harrison Chinyuka  akisitiza umuhimu wa  Mafunzo ya Utekelezaji wa Mradi huo kwa Wataalam wa  kutoka kata za Hedaru, Makanya na Vunta (hawapo pichani) wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo leo, Hedaru, Wilayani Same (katikati)  Afisa Mtendaji Kata Hedaru, Bw. Jackson Mbwambo (kushoto) Mratibu Maafa Wilaya, Same, Bw. Ally Mngwaya
Baadhi ya Wataalam katika Sekta ya Kilimo, Mifugo, Afya, Elimu na Utawala wa kata ya Hedaru, Makanya na Vunta wakiwa katika majadiliano ya  jinsi ya kutekeleza Mradi Wa Kuijengea Jamii Uwezo wa kupunguza Athari Za Maafa katika kata zao  leo , Hedaru Wilayani Same.

Next Post Previous Post
Bukobawadau