Bukobawadau

PICHA ZA POLISI FEKI ALIYE KAMATWA DAR

Polisi huyu kwa mujibu wa mashuhuda eneo la tukio ni kuwa alikuwa mtumishi wa jeshi la polisi miezi miwili iliyopita ila akatimuliwa kwa utomvu wa nidhamu

 Lakini aliendelea kutumia nguo za jeshi hilo kimakosa ndipo watu wa usalama walipomnyatia na kumtia mbaroni huko charambe akikamata na kuchukuwa fedha za waendesha magari na pikipiki kimakosa.
Hivi ndivyo mkanganyiko wa matukio unavyo endelea nchini,kuna siku tulisikia alifukuzwa kazi mtu aliye ritire .!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau