Bukobawadau

WAZIRI NAGU ABADILISHANA MAWAZO NA WAMILIKI WA VIWANDA WA WETTEREN UBELGIJI

Waziri wa Uwekezaji na Uwezashaji Mhe. Dr Mary Michael Nagu akibaldilishana mawazo na wamiliki wa Viwanda wa Wetteren Ubelgiji baada ya kumaliza ziara ya kutembelea baadhi ya Viwanda. Jana Waziri Nagu alibainisha fursa mbalimbali za uwekezaji zilizo Tanzania katika Kongamano la Biashara liloandaliwa na Taasisi ya Biashara ya Ubelgiji kwa kushirikiana na Ubalozi wa Tanzania Ubelgiji. Kongamano hilo lilifanyika jijini Brussels Ubelgiji.
Next Post Previous Post
Bukobawadau