Bukobawadau

BALOZI KAMALA AKUTANA KAMISHNA WA BIASHARA WA JUMUIYA YA ULAYA

Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Kamishna wa Biashara wa Jumuiya ya Ulaya Mhe. Karel De Gucht baada kumaliza kikao cha kushauriana naye masuala mbalimbali ya biashara. Balozi Kamala amekutana na Kamishna De Gucht ofisini kwake Makao Makuu ya Jumuiya ya Ulaya Brussels leo.

BALOZI KAMALA AKUTANA NA VIONGOZI WA TAASISI YA AFRIKA RISE

Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Taasisi ya Afrika Rise waliofika ofisini kwake Brussels kumweleza maandalizi ya Maonesho ya Biashara yanayotarajiwa kufanyika Ubelgiji mwezi Aprili mwaka 2015.

 

Next Post Previous Post
Bukobawadau