BALOZI KAMALA AKUTANA NA MKUU WA IDARA YA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA WA JIJI LA OESTENDE LA UBELGIJI
Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kulia) akiwa
katika picha ya pamoja na Mkuu Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa wa
Jiji la Oestende la Ubelgji Mhe. Collins Nweke (katikati). Mhe. Collins
alifika ofisini kwa Balozi Kamala kumweleza mipango ya Jiji la Oestende
kushirikiana na Tanzania. Kushoto ni Mhe. Nyamtara Mukome Mratibu wa
Masuala ya Uchumi katika Ubalozi wa Tanzania Ubelgiji.
BALOZI KAMALA NA KATIBU MKUU WA TAASISI YA KUSAMBAZA UMEME VIJIJINI
Balozi wa Tanzania Ubelgji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kulia) akiwa
katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Taasisi ya Kusambaza Umeme
Vijijini katika nchi zinazoendelea Bwana. Marcus Wieman (katika). Bwana
Wieman alikutana na Balozi Kamala leo Brussels kumweleza mipango ya
taasisi yake ya kusambaza umeme vijijini katika nchi zinazoendelea.