Bukobawadau

MAINDA & JAMAL WEDDING VIDEO OCT 18,2014

Hii ni moja kati ya harusi iliyochuka kasi Mjini Bukoba na kumike headlines kwanza  Maharusi wamependeza  ile mbaya ,watu walivaa na kupedeza ukumbini,mambo ya make up na Decoration  sina hata la kuongea  siku zote turufu yangu kuhusu Mapambo nampa Mama Matungwa, ukumbi umepambwa na kupambika pia Msosi babu kubwa.
 Ni bonge la harusi iliyosindikizwa na Msanii Mkubwa 'King of R&B in Tanzania' Ben Pol fanya kutazama Sehemu ya Video hapa chini Ben Pol akiperform ,yaani 'Ebyehetari',Jingine tunavtiwa nauwezo wa MC wa shughuli hii ,Mc Magoma kutoka Rock City Mwanza Mwanza.
BONYEZA KITUFE CHA PLAY HAPA CHINI UPATE KUTAZAMA VIDEO YETU

Katika Video yetu  hapo juu ni Sehemu ya kwanza ya yaliojiri muda mchache uliopita usiku wa kuamkia leo Oct 19 2014,Endelea kuwa nasi kwa matukio zaidi  Shukrani kubwa za dhati kwako Mr.Walter Rwey-Robert .
 Kaka wa Bi harusi,Ndg Moha katika picha ya kumbukumbu mbele ya bango Maalum la maharusi
                         JAMAL & MAINDA WEDDING RECEPTION
Venue :: Linas Night Club                                 Colour :: Yellow ,Black n Red
Artist :: King of R&B in Tanzania, Ben Pol    Youtube Videos :: Bukobawadau Enter Media

Photo credits: Walter Rwey-Robert                 Decoration ::Advents Deco and Planning

Next Post Previous Post
Bukobawadau