Bukobawadau

MSANII DIAMOND NA MAREHEMU BALOZI FULGENCE KAZAURA KUTUNUKIWA HONORARY DOCTORATE NA UDSM

Tetesi zilizopo ni kwamba katika mahafali ya 44 ya Chuo Kikuu Dar es Salaam yatakayofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City tarehe 08 November 2014, aliyekuwa mkuu wa chuo (Chancellor) wa UDSM marehemu Balozi Fulgence Kazaura na msanii maarufu Afrika aliyshinda tunzo nyingi zaidi kuliko wasanii wote Tanzania Diamond Platinumz watatunukiwa Shahada ya Uzamivu ya Heshima (Honoris Causa) ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam kwa mchango wao kwenye jamii.  
Tunawapa Hongereni sana!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau