Bukobawadau

UFUNGUZI WA MWAKA WA MASOMO CHUO KIKUU HURIA NCHINI KITUO CHA KAGERA

 Eneo la maegesho Chuoni hapo
 Afisa elimu Mkoa wa kagera Ndugu Frolian Kimoro pichani kulia ambaye  ndiye Mgeni Rasmi akisani kitabu cha wageni
Makam Raisi wa serikali ya wanafunzi tawi la kagera akishauriana jambo na katibu wake kabla ya kuhutubia.
 Mgeni Rasmi Ndg Frolian Kimoro akihutubia
 Sehemu ya jengo la chuo Kikuu huria cha Tanzania  Tawi la Kagera baada ya kufanyiwa ukarabati
 Sehemu ya wanachuo wakisoma ubao wa matangazo
Next Post Previous Post
Bukobawadau