Bukobawadau

VIDEO SEHEMU 1:ZAWADI ZA KIMIRA HARUSI YA BW. ALLY KICHWABUTA NA BI MGENI ISSA

Pitia  Video hapa Chini,Ni tukio la  zawadi ya apewayo bwana harusi kutoka kwa wazazi waka Pichani anaonekana Sheikh Habibu Kichwabutu akitoa Zawadi ya Maneno kwa Bwana  Ally Kichwabuta kuhusiana na kusimamia  Ndoa yake kama ilivyoamrishwa na Allah, pia anamkabidhi Zawadi ya Quran  kabla ya kufuatiwa na zawadi za kimira. Endelea kuwa nasi kwa matukio zaidi na Maelezo Kamili, Tayari picha zaidi ya 200 Zipo katika Ukurasa wetu wa facebook,Muhimu  kulike na kushare page husika ,Gonga hapa  >> Bukobawadau Entertainment Media
Next Post Previous Post
Bukobawadau