Bukobawadau

CHECK VIDEO/PICHA YAMOTO BAND NI SHEEEDAH NI BALAA NI CHANGAMOTO PIA!!

Vijana wenye Maskani yao TMK ambao walifanya poa sana wimbo wao wa Yamoto na kupata jina la Yamoto Band, Aslay, Becka, Bella na Maromboso  imeweza kufanya balaa  Usiku wa Jumapili Nov,2 ndani ya Ukumbi wa Linas Night Club Bukoba.
 Photo credits:Walter Rwey-Robert
 Unapo ongelea  Starehe Bukoba, basi huna budi kuongelea Ukumbi huu wa Linas Night Club ambapo leo hii Nov 2,2014 tunashuhudia kile ambacho hakijawahi tokea ,juu ya wingi wa watu ukumbini, Isipo kuwa leo kupitia Bendi ya muziki inayoundwa na vijana wanne, Yamoto Band.
Watu wakiendelea kufuatilia show ya Vijana wa  Yamoto Band
 Vijana wakiwajibika Jukwaani
 Burudani ikiendelea kutoka kwa watoto hawa wa Mkubwa Fella
 Kupitia bukobawadau blog pekee unapata kile kinachostahili
Katika Ule mistari isemayo;'mapenzi hayana ubaunsa wala ukomandoo'
  Watu kama unavyo jionea ilikuwa full mzuka
 Yamoto ni sheeedah, ni balaaa na ni sehemu ya Changamoto
Mashabiki wakiimba kwa pamoja na wana wa Ya moto Band hakika ni usiku wa kipekee kabisaa!
Ngoma nne zinazotamba  ikiwa ni ni pamoja na Nibemende/Nitajuta /Niseme nisiseme na Inooh zimeweza kuwapagawisha mbaya mashabiki wengi  ndani ya Ukumbi wa Linas.
 Maneno hayo mapema tulisema;'Unaanzaje kukosa kushuhudia Vijana hawa wadogo wenye kuimba kwa hisia na kupelekea wewe mtazamaji kupata hisia pia'!!
 Usisite kupitia sehemu ya Video, mwishoni kabisa mwa page hii
 Vipaji viko hapo si mchezo
Akifanya yake Mwimbaji Aslay mwenye ukomavu wa sauti kuliko umri wake katika game ya muziki
 Ndugu Kamala Masudi Kalumuna akitoa fedha kama njugu kwa vijana wa Yamoto Band.
Watu mbio katika Ukodak balaa yote hii ni kutokana na Wimbo Niseme Nisiseme'!
Wakiendelea kushusha burudani ya aina yake
Watu 'yelele yelele'ni balaa juu ya balaa linaloendelea kufanywa na watoto wa  Mkubwa Fella  a.k.a Yamoto Band.
 Sehemu ya mashabiki Ukumbini katika hali ya utulivu kabisa
 Vijana wa Mkubwa Fella wakiwajibika jukwaani.
 Mambo Swafiiiii 'anaonekana Mc Jerry mmoja kati waandaji wa show hii
Namna watu walivyopendeza ukumbini .
 Kijana Mkhusini katika hili na lile.
 Bonge la Shot, Credit kwake Mdau Walter Rwey-Robert.
Ndivyo  vijana hawa wanao fanya vizuri sana katika anga la Muziki hivi sasa, Yamoto Band walivyoweza kupagawisha ndani ya Linas Club Usiku wa Nov.2,2014.
 Wadau wakishow love mbele ya Camera yetu ukumbini
 Vijana wakishambulia jukwaa kwa mwendo wa kasi mwanzo mpaka mwisho
Makamuzi yakiendelea.
Sehemu ya Wakazi wa Mji wa Bukoba wakifurahia Bonge la Show ndani ya Linas Night Club
 Salum Bonge na Mdau Moha wakiwa wamejipanga vyema mlangoni
Wapenzi ,Washabiki na wateja wetu mnaotusupport  tunaomba mikono hewani
 Naaamm , tupo pamoja vijana!!
Eeeeh Bukoba yetu  kama kuleee ...'Watu na Vivazi vyao'!!
 Huku na huko  ndani ya Ukumbi wa Linas Night Club watu na vivazi vya kila aina
 Yamoto Band wakiimba kwa pamoja  na Mashabiki, kama utakavyoweza kujionea katika Video yetu
  Yote juu ya yote yunachoweza kusema ni kwamba jamaa wanatisha mbayaaaa!!
 Kijana Edwin mbele ya Camera yetu
 Mdau Jamal, Dj Sley na Kijana Amani Kabuga pichani
 Sehemu ya Video inafuata mwishoni mwa ukurasa wetu.
CHECK SEHEMU YA VIDEO HAPA CHINI YALIYOJIRI NDANI YA LINAS NOV 2,2014
Video uploaded by Mc Baraka Galiatano CEO-Founder & Team Leader of Bukobawadau Entertainment Media
Next Post Previous Post
Bukobawadau