Bukobawadau

KIFO CHA NDUGU YETU MTENSA LEONARD

Tunasikitika kupokea taarifa za kifo cha ndugu yetu Mtensa Leonard  aliyekuwa Mkurugenzi wa linas Club Bukoba kilichotokea majira ya saa 9 Usiku wa kuamkia leo Nov 19,2014 Mjini Bukoba na mpaka sasa chanzo cha kifo hicho hakijajulikana
Bukobawadau tunatoa pole zetu za dhati kwa familia nzima ya marehemu Ndugu jamaa na marafiki ,Mwenyezi Mungu awape faraja na awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu
 Bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe amen!
Next Post Previous Post
Bukobawadau