Bukobawadau

LETITIA K.RUHANGISA AZIKWA KWA HESHIMA KUBWA-NYUMBANI KIJIJINI IBWERA NOV 4,2014

Marehemu  Letitia K. Ruhangisa wakati wa uhai wake
Majaji mbalimbali pamoja na majaji wastaafu wakiongozwa na Mwakilishi wa Jaji Mkuu kuwaongoza maelfu ya wananchi ,Viongozi mbalimbali wa  Serikali ,taasisi  pamoja na familia ya Prof John Ruhangisa katika shughuli ya Mazishi ya Marehemu Letitia R. Ruhangisa.
 Marehemu Letitia R. Ruhangisa alifariki dunia  Oct 29,mwaka huu katika ile ajali ya barabarani iliyotokea katika eneo la Makumira wilayani Arumeru baada ya basi dogo aina ya Hiace kugongana uso kwa uso na lori la mafuta na kuwa miongoni mwa watu 12 waliopoteza  maisha siku hiyo.


Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Letitia K.Ruhangisa mara baada ya kutolewa nje tayari kwa Ibada iliyofanyika Nyumbani Kijijin Ibwera -Kibona Bukoba Vijijini
 Mme wa Marehemu Letitia K. Ruhangisa ,Prof John Ruhangisa na wanae watatu  Mollen, Fiona  na David pichani kulia wakati wa Ibada.
Ibada hiyo ikiongozwa na Padre aliyesomeshwa na familia hii akishirikiana na Mapadre wengine ya kadhaa
 Mollen Ruhangisa akisoma neno.
Taswira mbalimbali wakati Ibada ya Mazishi ya Letitia K. Ruhangisa ikiendelea
Katikati anaonekana Jaji Rutta
Waumini wakiendelea na Ibada.
Hakika ni masikitiko makubwa kwa Prof John Ruhangisa na familia yake
 Mzee James Lugemalira na Mr Eniki Kashasha wakati wa Ibada
 Mr. Basibila wakati Ibada ya mazishi ikiendelea.
 Polisi wa Usalama barabarani kama  walivyokuwa sehemu ya maegesho
 NduguNovatus Nkwama mwenyekiti wa wilaya Bukoba vijijini ccm
 Taswira eneo la tukio
 Dada Messe na Bi Jeanifer Murungi Kichwabuta
Ibada imegudhuriwa  na watu wengi sana kutoka maeneo mbalimbali
Sehemu ya wanafamilia anaonekana 'Mnyaluganda' Bi Maua Ramadhani.
 Sehemu ya Ndugu wa familia.
Kulia anaonekana Sakina Sinda, Wakili wa Serikali Mfawidhi - Mkoa wa Kagera
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Henry Mwaibambe wakati wa utambulisho
 Prof Boniventure Rutinwa akiendelea kuratibu shughuli hii  kutokana na ratiba ilivyo.
 Kijana David ambaye ni Mtoto wa Marehemu Letitia, utapata kuona na kusikia alichokisema kupitia video yetu iliyopo mwishoni mwa ukurasa huu.
 Salaam za ambirambi kutoka kwa Wanajumuhiya

 Taswira mbalimbali shughughuli ya Ibada ikiendelea.


Mh. Jaji Lutta akitoa salaam za rambirambi kama  mwakilishi wa Jaji Mkuu aliyehudhuria  katika Ibada ya kuaga huku Arumeru kabla ya Safari kuelekea Bukoba
 Camera yetu katika kuangaza huku na kule wakati shughuli ikiendelea..
 Muda mchache kuelekea eneo la makabui.
Jeneza likiwa kaburini.
 kutoka kusgoto anaonekana Mr Siza , Mr Aniki Kashasha na Mzee Adv. Ishengoma wakishiriki shughuli ya mazishi haya.
 Msalaba ukisimikwa Kaburini
 Askofu Mkuu Mstaafu na kiongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania,Dk.Samson Mshemba
 Askofu Mkuu Mstaafu na kiongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Samson Mshemba akiweka Shada ya maua.
 Prof John Ruhangisa pichani akiwa tayari kuweka shada la Maua katika kaburi la Mke wake mpendwa Letitia K.Ruhangisa
 Watoto wa Marehemu na Baba yao kwa pamoja wakiweka




 Shada la maua kwa niaba ya wanaukoo wote.
Kwa niaba ya wanaukoo na kama rafiki wa familia, anaonekana Mzee James Lugemalira katika utayari wa kuweka shada la maua.
Mzee James Rugemalira akiweka shada la maua
Bi Jeanifer Murungi Kichwabuta akiweka shada la maua


 Matukio ya mbalimbali heshima ya Mwisho ya Letitia K.Ruhangisa
 Mama Adventina Matungwa akuweka shada la maua


 Mdau Mama Stella.
 Mr. Kashasha  katika hili na lile na Ndugu Rahym Kabyemela.
 Mama Matungwa pichani kushoto
 Mdau Deo akiteta jambo na Ndugu Cathbert Basibila.
 MATUKIO ZAIDI YA PICHA YANAENDELEA HIVI PUNDE NA SEHEMU YA VIDEO..
Mama Abayo pichani
 Mr Prudence karugendo akiwajibika katika Msiba huu mkubwa wa Dada yake Mpendwa
PITIA SEHEMU YA VIDEO HAPA CHINI IBADA YA MAZISHI YA LETITIA RUHANGISA KWA PICHA ZAIDI INGIA HAPA >Bukobawadau Entertainment Media
 BUKOBAWADAU BOG tunafurahia kuwa na uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241
Next Post Previous Post
Bukobawadau