Bukobawadau

WALANGIRA WAWEKA HISTORIA USIKU WA NANI KAMA MAMA!

Sehemu ya Wadau pichani kutoka  Jijini Dar es Salaam, waliopo mjini hapa kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Krismas  na kuacha historia isiyofutika kirahisi

 Mulokozi hee...,Mulokozi ..hee..!!Ben Mulokozi ...!!”Hivyo ndivyo  sauti na miridimo ilivyokuwa ikisikika  wakati Ben Mulokozi aka Mr.appetizer alipokuwa akiwatunza Fedha nyingi waimbaji na wanenguaji wa Malaika Bendi.
Rapper mahiri wa Malaika band akipokea pesa kila anapotamka jina la Ben Mulokozi.
Utaratibu wa dollar jaman
Salute kwake Ben Mulokozi kutoka katika meza ya wadau
Macho ya watazamaji ndani ya ukumbi wa Linas Night Club
 Omwana wo Mkazi 'Haidary' akifanya kufuru
 Yote haya yametokea usiku wa Dec 26,ndani ya Ukumbi maarufu wa Linas Night Club.
 Christian Bella anamfuata Justuce na kuanza kumuimbia wimbo wake maalum
Mlangira Justuce Lugaibura akitumia 'Dollar' kufanya yake na  kuacha historia isiyofutika kirahisi!
 Tukio lililowashangaza wengi wakati Mlangira Ben Kataruga akiachia bunda moja baada ya nyingine zenye noti  za ten ten.
 Ndugu Samuel Lugemalilaa kiachia tu mihela kama mtu aliyechanganyikiwa.
 Mainda na mme wake Jamal wakifuatilia kinacho endelea
 Mdau Optaty Henry (Katibu) na binti zachwa wakicheck na Camera yetu ukumbini
 Wadau kwa wa pamoja wakifanya 'cheers'.
Well come back Mr .Jackson Rwebangira
Mr & Mrs Justuce Lugaibura 
 Tabasamu lake Bi Johiryn John  Mrs Justuce .
Christian Bella & Ms Brittany Leitch
  Anaonekana Bibie Marry Mke Muimbaji na kiongozi wa Malaika Band  Christian Bella ,ikumbukwe kuwa Christian Bella alisema wimbo 'Nani Kama Mama' aliutunga baada ya kumshuhudia live mke wake akijifungua
 Maua Ramadhani wa Daftari.
 Vurugu ya kitu pesa kwa mara ya tena ikaanza....!Huyu ndiye Rais wa Kanda ya ziwa Mlangira Joha Lugenge
Mama JOJO na nani kama Mama..!
Mama JOJO akiendelea kuachia wekundu kadhaaa...
Kana kwamba haitoshi, akanyanyuka Mkubwa Justuce Lugaubura.
 Ukurasa unafungwa na Samuel Lugemalilaa
 Hakika wadau wa mji wa bukoba wamepata kushuhudia  tukio la Malaika Band na matukio ya Walangira/ watuto wa kihaya wanao tokana na familia za kichief wanavyo weza kutumia fursa.
 Kama kawaida katika kushow love wanadada Dyner Van Jimmy na Nancy Nas
Tathmini Ukumbini  watu ni nyomi ile mbayaaaa!!
 Mkali Dj Sley wa 88.5 Kasibante Fm Radio akishow love na mwenzie.
Mr Bube na wanae Kemmy na Koku.
Kufikia hapa BUKOBAWADAU BOG tunawatakia "heri ya mwaka mpya" tukiwa na furaha ya kuwa na uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia.
Pia kwa taarifa /matukio na shughuli mbalimbali kama mikutano, sherehe, misiba,Makongamano na kadhalika waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241
Devotha na Anitha walivyo chomoka usiku wa Nani kama Mama
 Mama Pavy aka Mama Kakuta na Mshaija Prospa.
 Shangwe zikiendelea.
Wanenguaji wa Kike wa Malaika Band wakiwajibika Jukwaani.
 Ruta Rwabigene akifanya yake.
 Naye Mdau Rashid anasogea Jukwaani kufanya yake
 Burudani ikiendelea kwa mashabiki wa Malaika Band.
Wahaya bhana ...'Ngu lelo basiiii'!
 Anafika Super Mkude kusalimiana na meza ya wadau, pembeni anaonekana Mr. Rahyn.
Mwisho bukobawadau Blog tunakulea sehemu ya Video mwanzo mwisho yaliyojiri usiku huu.
 SHUKRANI KWAKO KWA KUTUCHAGUA SISI!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau