Bukobawadau

KAMA HAKUNA MSAHAMA,HAKUNA MAPENZI

Umesikia kwenye matangazo mengine ya biashara wanasema “kama unampenda utamlinda”, lakini labda na mimi nikwambie kitu kingine cha muhimu na kilicho halisi kwamba “Kama unampenda, utamsamehe”. Kama bado mpenzi wako anaona ugumu sana kukusamehe basi fahamu kwamba unanafasi ndogo sana kwenye moyo wake. Upo uhusiano mkubwa sana kati ya kupenda na kusamehe, vitu hivi viwili vinaoana sana na ni ngumu kuvitofautisha, ni alama iliyowazi kabisa kwamba ukiona kusamehe kunaugumu baina yenu basi penzi lenu nalo linashida. Hapa sizungumzii yale makosa ya kurudiwarudiwa mara kwa mara na ile tabia ya kuomba radhi pasipo kumaanisha. Always kumbuka “No forgiveness, no love” – Chris Mauki
Next Post Previous Post
Bukobawadau