Bukobawadau

SOPHIA'S 50TH BIRTHDAY PARTY

Matukio yaliyojiri katika Sherehe ya kumbukumbu siku ya kuzaliwa kwake Bi Sophia Abdallah (Sophia's 50th birthday party) na kutimiza miaka 7 ya ndoa yake.
Bi Sophia anakata Keki ,pembeni yake yupo mme wake mpendwa  Mzee Nurag Galiatano
Happy birthday kwako Mrs Nurag.
Bi Sophia anamlisha kipande cha Keki Mama yake Mzazi.
 Utaratibu wa keki ukiendelea kwa Ndugu wafamilia pichani ni Dada zake na Bi Sophia
Mungu amewajaalia wana ndoa hawa watoto wawili wa kiume, Henning (8) pamoja na Makenga mwenye miaka sita. Mungu azidi kuwabariki kwakuwapa miaka mingi zaidi ya furaha , upendo amani na mafanikio tele.                                                   - See more at: http://www.gospelkitaa.co.tz/2013/03/shangwe-za-gk-miaka-10-ya-ndoa-sambamba.html#sthash.GEZLhNLT.dpuf
Kabla ya kukata Keki Maalum kwa ajili ya miaka 7 ya ndoa yao ,pichani anaonekana Mzee Nurag Galiatano akitoa neno.
Bukobawadau tunamuomba Mwenyezi Mungu awajaalie wana ndoa hawa azidi kuwabariki (Omkama abatunge Emilembe) Mola awape miaka mingi zaidi ya furaha yenye upendo amani na mafanikio tele.
Ni muda wa kupata chakula cha usiku Ukumbini pichani ni Bi Sauda Hussein na Mama K.
 Naaam!!meza ya 'Maharaba' wakipata chakula cha pamoja
 Kushoto ni Ndugu Sirloom  na Uncle Khalidi wakipata msosi.
 Mazungumzo ya hapa na pale wakati wa chakula cha usikukatika ukumbi Lake Hotel
 Mazungumzo ya hapa na pale wakati wakiendelea kupata chakula 
 Picha ya pamja Kijana Rahim akiteta na mama yake mzazi na wa mwisho  kulia ni  kijana Jamal
 Kulia kabisa anaonekana Mdogo mtu Bi Zahyana ni katika picha ya pamoja na mama Mzazi.
Mzee Nurag anamkabidhi Mke wake zawadi ya Seti ya dhahabu
 Kwa ukaribu wa familia mbili baina ya Mwanaume na Mwanamke kutoka Buganguzi na Kamachumu,ni furaha kwa Mama Eddan  Mrs Rugalabamu kama anavyo onekana pichani kulia akitoa neno .
 Muendelezo wa Zawadi kutoka kwa  wafanyakazi wenzake na Bi Sophia  (KFCB)
 Mara chache sana kuonekana Bi Kamama (Mrs Deo) hakika kila tukio hili ni la aina yake.
 Zawadi kutoka kwa mawifi  na Stori nyingine katika kupongezana
 Sehemu ya Zawadi
 Mshereheshaji wa Shughuli hii Mc Rutakwa akitoa angalizo kuhusu utaratibu...!
 Kijana Rahim akapata fursa ya kutoa maneno ya Shukrani kwa wazazi wake kwa Ushirikiano mkubwa katika malezi wanayompa na kuonekana mwenye furaha siku zote,tukio lililowafurahisha watu wote ukumbini
 Burudani ikipewa nafasi kama inavyo jionyesha
 Muhimu:Usisite kutembelea ukurasa wetu wa facebook kwa matukio zaidi ya picha za Burudani na zawadi 
Wakitoa shukrani kwa waalikwa na wageni wote waliofika
 Utaratibu wa kutoashukrani na kukaribisha ukiendelea
 Sehemu ya Mawifi zake Al hamsa Sophia katika picha ya pamoja
 Matukio yapicha kutoka makundi na vyama mbalimbali yakiendelea.
 Kamati nzima ya maandalizi ya shughuli hii

Hongereni sana Mr & Mrs Nurag Mwenyezi Mungu azidi kuwapa maisha marefu na kutimiza ndoto zenu -Insha'Allah 
 Neno kwaniaba ya wafanyakazi wa KCB
 Neno kutoka kwa Bibie , mwenyewe, Al hamsa Sofia A. wa Nurag



Mungu amewajaalia wana ndoa hawa watoto wawili wa kiume, Henning (8) pamoja na Makenga mwenye miaka sita. Mungu azidi kuwabariki kwakuwapa miaka mingi zaidi ya furaha , upendo amani na mafanikio tele.                                                   - See more at: http://www.gospelkitaa.co.tz/2013/03/shangwe-za-gk-miaka-10-ya-ndoa-sambamba.html#sthash.GEZLhNLT.dpuf
Next Post Previous Post
Bukobawadau