Bukobawadau

Tanzania Distilleries Wachangia Mil 10 Imetosha Foundation

Tanzania Distilleries Wachangia Mil 10 Imetosha Foundation Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited 'Konyagi', David Mgwassa (wa pili kushoto)akizungumza alipokuwa akitoa ahadi ya kampuni hiyo kuchangia shilini milioni 10 kuunga mkono Imetosha Foundation na kampeni yake ya kupinga mauaji ya watu wenye ualbino. Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited 'Konyagi', David Mgwassa (wa pili kushoto) akizungumza alipokuwa akitoa ahadi ya kampuni hiyo kuchangia shilini milioni 10 kuunga mkono Imetosha Foundation na kampeni yake ya kupinga mauaji ya watu wenye ualbino.Balozi wa kujitolea wa Imetosha Foundation, Henry Mdimu akizungumza na waandishi wa habari leo kuzungumzia matembezi ya hisani na kupokea ahadi ya sh milioni 10 kutoka Tanzania Distilleries Limited. Balozi wa kujitolea wa Imetosha Foundation, Henry Mdimu akizungumza na waandishi wa habari leo kuzungumzia matembezi ya hisani na kupokea ahadi ya sh milioni 10 kutoka Tanzania Distilleries Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited 'Konyagi', David Mgwassa akizungumza alipokuwa akitoa ahadi ya kampuni hiyo kuchangia shilini milioni 10 kuunga mkono Imetosha Foundation na kampeni yake ya kupinga mauaji ya watu wenye ualbino. Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited 'Konyagi', David Mgwassa akizungumza alipokuwa akitoa ahadi ya kampuni hiyo kuchangia shilini milioni 10 kuunga mkono Imetosha Foundation na kampeni yake ya kupinga mauaji ya watu wenye ualbino.Mkutano wa waandishi wa habari na Kamati ya Imetosha Foundation ukiendelea idara ya habari maelezo, ambapo pia ulipokea mchango wa milioni 10, zilizotolewa leo na kampuni ya Tanzania Distilleries Limited kusaidia kampeni maalum za kupinga mauaji ya albino nchini. Mkutano wa waandishi wa habari na Kamati ya Imetosha Foundation ukiendelea idara ya habari maelezo, ambapo pia ulipokea mchango wa milioni 10, zilizotolewa leo na kampuni ya Tanzania Distilleries Limited kusaidia kampeni maalum za kupinga mauaji ya albino nchini.Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN), Joachim Mushi (kulia) akizungumza kwenye mkutano huo. TBN inashirikiana na Imetosha Foundation kupaza sauti kupinga mauaji ya watu wenye ualbino nchini. Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN), Joachim Mushi (kulia) akizungumza kwenye mkutano huo. TBN inashirikiana na Imetosha Foundation kupaza sauti kupinga mauaji ya watu wenye ualbino nchini.Balozi wa kujitolea wa Imetosha Foundation, Henry Mdimu akizungumza na waandishi wa habari leo kuzungumzia matembezi ya hisani na kupokea ahadi ya sh milioni 10 kutoka Tanzania Distilleries Limited. Kushoto ni Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN), Joachim Mushi. Balozi wa kujitolea wa Imetosha Foundation, Henry Mdimu akizungumza na waandishi wa habari leo kuzungumzia matembezi ya hisani na kupokea ahadi ya sh milioni 10 kutoka Tanzania Distilleries Limited. Kushoto ni Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN), Joachim Mushi.Baadhi ya wanachama wa Imetosha Foundation wakiwa katika Mkutano na waandishi idara ya habari maelezo. Baadhi ya wanachama wa Imetosha Foundation wakiwa katika Mkutano na waandishi idara ya habari maelezo.Kamati ya Imetosha Foundation akiwa katika mkutano na wanahabari kupokea mchango wa milioni 10, zilizotolewa leo na kampuni ya Tanzania Distilleries Limited kusaidia kampeni maalum za kupinga mauaji ya albino nchini. Kamati ya Imetosha Foundation akiwa katika mkutano na wanahabari kupokea mchango wa milioni 10, zilizotolewa leo na kampuni ya Tanzania Distilleries Limited kusaidia kampeni maalum za kupinga mauaji ya albino nchini_______________________________________________________________________
Joachim Mushi, Mhariri Mkuu wa gazeti tando la Thehabari.com Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com Mobile:- 0717 030066/ 0786 030066/ 0756 469470 Web:- www.thehabari.com http://joemushi.blogspot.com
Next Post Previous Post
Bukobawadau