Bukobawadau

MASTAA KIBAO WASHUHUDIA USHINDI WA MAYWEATHER DHIDI YA PACQUIAO

 Bondia wa Marekani Floyd Mayweather ameshinda pigano lililosubiri kwa wingi katika miongo kadhaa.
Bondia huyo ambaye hajashindwa alimshinda mpinzani wake raia wa Ufilipino Manny Pacquiao kwa wingi wa pointi.
Mashabiki wengi waliojaa katika ukumbi wa MGM Grand Garden Arena mjini Las Vegas walimzomea mara kwa mara Mayweather,Kote duniani wateja millioni 3 walilipa kuliona pigano hilo ambalo ndio pigano lililovutia kitita kikubwa cha fedha katika historia ya ndondi.
 Pacquiao akimpiga makonde mayweather
 Mwandishi mkongwe wa BBC ambaye amewahi kucheza boxing zamani Ndugu Erick David Nampesya ametoa maoni yafuatayo kuhusu pambano la Mayweather na Pacquiao. Akiongea kwa kutumia utaalamu wake wa ndondi amesema;
 "Ngumi za sasa ni biashara. Katika kukumbatia kwa yule "mswahili" zaidi ya Mara mbili alipaswa kukatwa point. Jambo la ajabu eti ameshinda round zote, wakati Mimi nimeona kashinda 8,9 na 10.
Anyway ndio matokeo, lakini binafsi nililpoona "mfilipino" ameshindwa kumdondosha jamaa hadi round ya 6, nikajua lazima atamaliza na wakimaliza tu Maywether atatangazwa mshindi (that was planned).

 Njia pekee ya kumzuia Myweather kutangazwa mshindi ilikiwa kumpiga KO au kuhakikisha hamalizi raundi zote. Lakini kumaliza raundi zote ni advantage kwake maana points hawezi kupewa mfilipino.
 Pasquare akionyesha kupoteza.
 Kama unaijua ndondi lazima utashangaa Mayweather kutangazwa mshindi wakati yeye alikua anajihami zaidi badala ya kushambulia. Na aliposhambulia alitumia zaidi "jab" wakati Mfilipino alikua anatumia the "jab" mara chache ila mara nyingi alitumia "cross", "hook" and "uppercut". Lakini marefarii kama hawakuona vile.

Unajua mchezo wa leo, ulikuwa na thamani ya zaidi ya dola milioni 300. Sasa uchezwe Las Vegas, Majaji wote wa hapo Nevada, Kisha ashinde mfilipino?? Wamarekani wasingekubali.
Wameandaa mazingira ya Re-march iwapo mheshimiwa mbunge Pacqiao atakubali. Lengo ni kumsaidia Mayweather kutunza rekodi yake. Alisema anataka kustaafu akiishavunja rekodi ya Rocky Marciano ya kushinda mapambano 50 bila kupoteza.


Kumbuka leo amefikisha 48-0, yaani bila kupoteza pambano lolote. Kwa hiyo kinachofanyika ni siasa tu za ulingoni ili rekodi hiyo ya 50-0 iweze kufikiwa."
Haya wale waliojiita wataalamu wa ngumi waje kusema Mayweather alicheza "jab" ngapi, "cross" ngapi au "uppercut" ngapi.!
Mayweather ameshinda kwa wingi wa pointi kama inaonekana katika pichaKwa hesabu za haraka haraka......Mayweather alitengeneza $62,500 kwa sekunde ($180M ÷ 48 minutes)

 Beyonce and Jay Z soak up the atmosphere ahead of the mega-fight between Floyd 
Mayweather and Manny Pacquiao
Model Cassie Ventura and Sean 'Diddy' Combs
Khan takes his place at ringside and was an avid watcher at the MGM Grand on Saturday night
 Mary J Blige
 Mike Tyson knows a thing or two about huge boxing fights, and he was present at ringside at the MGM
 American socialite Paris Hilton was filmed making her way into the building and will be in attendance
 Actor Don Cheadle greets rapper Bow Wow at the Showtime and HBO VIP pre-fight party
 Denzel Washington (above) takes his place at Ringside as Jake Gylenhaal (below, left) poses with rirector Antoine Fuqua
 (l-r) Models Samantha Hoopes, Genevieve Morton, Kim Glass, Hailey Clauson and Anastasia Ashley attend the official Sports Illustrated Fight Weekend Party at Foxtail Pool Club
Actor Michael Keaton (left) poses for a photo alongside boxing legend Sugar Ray Leonard (right)
American rapper 50 Cent catches up with Juan Manuel Marquez ahead of the fight and says the boxer 'started singing my music'
 American superstar NickI Minaj made her way into the MGM Grand later than most but made quite an entrance
 The stage is set at the MGM Grand Arena ahead of the richest fight in boxing history between Floyd Mayweather and Manny Pacquiao
Graf and Agassi were invited as guests of MGM and Sportsmail understands the Las Vegas-based couple did not pay for their tickets
 Bieber, a good friend of Mayweather. obviously felt like he was in good shape ahead of the 'Fight of the Century' at the MGM Grand
 Justin Rose has taken wife Kate Phillips to the bout and said: 'she always wanted to see a Vegas fight... this one qualifies I think!'
American superstar NickI Minaj made her way into the MGM Grand later than most but made quite an entrance
 Of course American billionaire Donald Trump wasn't going to miss the fight - along with wife Melania
 Jimmy Kemmel watches a preliminary bout before the start of the main event of Mayweather vs Pacquiao
 Mark Wahlberg is backing Manny Pacquiao for the fight and met up with Fuqua and Gylenhaal ahead of the huge fight
 Basketball legend Michael Jordan is joined by wife Yvette Prieto at the MGM Grand to watch the fight
 New England Patriots quarterback Tom Brady was one of many sporting stars who made their way to Las Vegas
 Robert De Niro is a huge boxing fan and made his way into the MGM Grand on Saturday night
 The Kardashian family had their own Mayweather-Pacquiao party, choosing not to make it to Las Vegas
Civil rights activist and Baptist minister Jesse Jackson chats to spectators ahead of the fight
 Actress Drew Barrymore joins the crowd before the start of the world welterweight championship bout


 Formula One star Lewis Hamilton watches the fight from ringside with businessman Sir Phillip Green
 Andre Agassi and wife Steffi Graf take their seats as a plethora of famous faces gathered together to watch the fight
 Actor and director Ben Affleck was one of many celebrities in attendance as part of a 16,000-strong crowd in Las Vegas
 Kutoka kwa Mike Tyson.
 Watu maarufu na Matairi na watu maarufu wakipigana vikumbo kuingia Las Vegas
MAONI YA WADAU
 "Pengine unampenda Maywether kwa kuwa ni black mwenzetu, ana swagg, ananunua mindinga mikali ana ndege na mbwembwe nyingine nyingi, mimi namkubali Pacquiao kwa kuwa anatangaza neno la Mungu, anapenda na kusaidia watu, na fedha yake ingeenda na still itaenda kwa watu maskini wanaoteseka kwa njaa nchini ufilipino."- Arnold Kayanda
 As I said before, lilikuwa ni Speed vs Counter
And Manny's speed wasn't there as Floyd's counter,Kwa mujibu wa PUNCH STATS, Manny alirusha ngumi chache zaidi kuliko pambano lolote in six years ,Almost half of his average
Well....I guess ni kwa sababu ya counter punching ya Floyd-Mubelwa Bandio
 Floyd atakuwa mjinga kukubali pambano lolote linalohatarisha rekodi yake just for the sake of fans.
It's not about fans anymore It's about LEGACY
All he needs is "that zero" With that, he can run his mouth as much as he want.
Hivi karibuni kasema yeye ni bora zaidi ya Muhammad Ali. Na akasema rekodi inaonyesha hivyo.
Watu wameahindwa kumpinga kutokana na ukweli kuwa Ali alipoteza pambano.

Yeye kawa bingwa uzito tofauti Bingwa kwa miaka 18,Kapigana na kila aliyetajwa kuwa tishio kwake (japo si kwa wakati "muafaka") He invested a lot to stay PERFECT in the sport,Ningependa kuona akistaafu "clean"-Mubelwa Bandio
 BongoCelebrity: The only sure way for #Pacquaio (or anyone else) to win against #Mayweather in Las Vegas is by KO.Otherwise it'll be the same story #MayPac










Next Post Previous Post
Bukobawadau