Bukobawadau

BALOZI KAMALA AKUTANA NA WADAU WA ZAO LA TUMBAKU

Balozi wa Tanzania Ubeligiji, Luxembourg na Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (wa pili kutoka kulia) akiwa na Wadau zao la Tumbaku baada ya kumaliza kikao nao ofisini kwake Brussels leo. Katika kikao hicho changamoto zinanazokabili soko la tumbaku zilibainishwa na kuweka mkakati wa kukabiliana nazo.
Next Post Previous Post
Bukobawadau