Bukobawadau

MAMBO YA OLD IS GOLD 80s - 90s

Utapata kusikia mengi kutoka kwa Mkongwe 'Baba Halehale' pichani mmoja wa wacheza Disco  waliosumbua enzi hizo kipindi cha RTC club na Continental by Night  atagusia mengi kuhusu madj wakali kipindi cha BMC akina  DJ Peter Pantalakis, Choggy Sly,Dj Kalikali na Dj Say Do...
Stay Tuned.!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau