Bukobawadau

IBADA YA KIHISTORIA SHEREHE YA JUBILEE MIAKA 80 YA KUMPONGEZA BI ANASTAZIA KOKUGONZA RWECHUNGURA

Bi Anastazia Kokugonza Rwechungura akiwapungia mikono mamia ya watu walioshiriki katika Ibada maalum ya shukrani ya Jubilee ya kumpongeza kwa kutimiza miaka 80 ya kuishi.
Baba Askofu Methodius Kilaini,Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba mara alipowasili kushiriki Ibada ya Jubilee ya kumpongeza Bi Anastazia Kokugonza Rwechungura (pichani kushoto) iliyofanyika nyumbani kwake kijijini Gera-Missenye Jumamosi Aug 8,2015
 Baadhi ya Waumini wakishiriki Ibada hiyo
 Sehemu ya wananchi katika Ibada ya misa ya jubilei ya miaka 80 ya kuzaliwa kwa Ma Anastazia Kokugonza
Taswira kupitia picha ukumbini
 Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mugana Godwin Rugambwa akitoa mahubiri
 Fr Revocatus Lugaihula kutoka Parokia ya Minziro akiongoza Ibada hii
 Baadhi ya waumini na wanakwaya wakiimba kwa furaha katika Ibada ya Jubilee ya kumpongeza Ma Anastazia Kokigonza Rwechungura kwa kutimiza umri wa miaka 80.
 Taswira ukumbini wakati Ibada ikiendelea
Eeeh Mungu endelea kuibariki familia hii.

Furaha ikitawala kutokana na mafundisho ya Baba Paroko
 Mr Paul Rwechugura pichani kushoto na rafiki yake Mr Sued Juma Kagasheki aliyefika  kijijini Gera kushiriki sherehe ya kumpongeza Ma.Anastazia Kokugongoza Rwechungura kutimiza miaka 80
 Binti Kisura Subira  mbele ya Camera yetu



 Pichani kushoto ni Ma Fatuna rafiki wa karibu wa familia ya Ma Anastazia Kokugonza.
Dr. Mary Banda Akimminia kinywaji Baba Askofu Methodius Kilaini.
 Waalikwa wakiendelea kufurahia sherehe hii.
Furaha yote hii ni kwa Neema kutoka kwa Mungu Baba, hongereni sana Wanafamilia kwa pamoja
 Mdau Peter Rwechungura akishow love katika sherehe ya kumpongeza Mama yake Mzazi kwa kutimiza miaka 80 ya kuzaliwa
Shangwe za hapa na pale na zawadi mbalimbali kutoka kwa waalikwa.
Pongezi za hapa na pale zikiendelea..
 Wakati Baba Askofu Methodius Kilaini akikabidhi zawadi
Yote haya ni kwa Neema na Rehema ni Wimbo kutoka kwa EDSON MWASABWITE hakika Mdau msomaji utakubaliana na mimi kuwa watu wengi wakisiliza huo Wimbo ulia na kumshukuru Mungu.
Katika picha ya pamoja kutoka kushoto ni Ma.Anastazia Kokugongoza Rwechungura,Baba Askofu Methodius Kilaini na Ma Fatuna.
Huduma ya Chakula ikiendelea.
Wanaonekana waalikwa wakipata Chakula.
 Muonekano wa kitu Menu.
Katika hali ya utulivu na pozi  ndivyo anavyo onekana Mdau mbele ya Camera yetu
 Baadhi ya wanafamilia na marafiki wa familia katika picha ya pamoja
 Mshereheshaji namba 2 akiwajibika
Matukio mbalimbali katika picha ya pamoja na Viongozi wa Dini 
 Mapadre walioshiriki kuongoza Ibada hiyo wanatoa mkono wa pongezia kwa Mama anayetimiza Umri wa miaka 80 ya kuzaliwa kwake , Ma Anastazia Kokugonza Rwechungura.
 Katika picha maalumu ya kumbukumbu
 Mtu na Dada yake pichani wakiteta jambo mara baada ya kupata picha ya pamoja na Viongozi wa Dini
Baba Askofu Methodius Kilaini akitoa neno la kumpongeza Ma Anastazia Rwechungura.
Ni furaha ya aina yake kama inavyo onekana kupitia picha
 Ni fursa ya Ma.Anastazia Kokugongoza Rwechungura kukata keki ya sherehe yake ya kutimiza miaka 80.
Omwami kazi Apolonia Lutinwa akifuatilia yanayojiri ukumbini
Sasa ni mwendo wa burudani ya Ngoma ya asili.
 Hakika utapata kuona kupitia sehemu ya pili katika Video,Wadau walivyo wakilisha kwa kucheza ngoma ya kihaya.
 Mr & Mrs Peter (Tosh )Rwechungea
PITIA SEHEMU YA VIDEO HAPA CHINI MATUKIO YALIYOJIRI KATIKA JUBILEE YA MIAKA 80 KUMPONGEZA BI ANASTAZIA KOKUGONZA RWECHUNGURA VIDEO 
BUKOBAWADAU BOG tunafurahia kuwa na uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241
Next Post Previous Post
Bukobawadau