Bukobawadau

DK MAGUFULI AWATAKA WANANCHI, VIONGOZI KUDUMISHA AMANI YA NCHI ILI AONGOZE VIZURI

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akipanda ngazi kwa kukimbia kwenda jukwaani kujinadi kwa wananchi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Taifa mjini Kibondo, Kigoma
 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi kwa wananchi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Taifa,  Kibondo, Kigoma

Akihutubia kwa nyakati tofauti, katika mikutano ya  kampeni zake mkoani Kigoma, amekuwa akihimiza kudumisha amani nchini ambapo pia aliwataka viongozi wa kisiasa  kuhubili sulala hilo katika mikutano yao.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi kwa wananchi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Umoja  Kasulu, Kigoma
 Wananchi wakimsikiliza kwa makini Dk ,Magufuli alipokuwa akijinadi katika Jimbo la Buhigwe, Kigoma

 Dk Magufuli akihutubia alipokuwa akifanya kampeni  katika Kijiji cha Munanila, wilayani Buhigwe, Kigoma
 Dk Magufuli akimnadi mgombea ubunge jimbo la Buhigwe Albert Ntabaliba 'Obama' huku mmoja wa wagombea udiwani askishangilia wakati wa mkutano wa kampeni mjini Munanla Buhigwe, Kigoma leo
 Mkazi wa Mji wa Munanila akisikiliza kwa makini Dk Magufuli alipokuwa akijinadi kwa wananchi katijka Jimbo la Buhigwe
 Wananchi wakishangilia hotuba ya Dk Magufuli huku wakiwa na matawi ya miti  katika Mji wa Munanila, Jimbo la GBuhigwe, Kigoma
 Mama akiwa na mkungu wa ndizi alipokuwa akimsikiliza Dk Magufuli katika Kijiji cha Mvugwe wilayani Kasulu
 Wananchi wakishangilia wakati Dk Magufuli akijinadi mjini Buhigwe, Kigoma leo
 Dk Magufuli akimnadi mgombea ubunge jimbo la Buhigwe Albert Ntabaliba 'Obama' katika kkiutano wa kampeni katika mji wa Buhigwe
 Ni furaha iliyoje kwa wananchi baada ya kufurahishwa na sera za CCM zilizokuwa ziktolewa na Dk Magufuli katika mkutano wa kampeni mjini Buhigwe leo

  Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi kwa wananchi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Umoja  Kasulu, Kigoma
 Dk Magufuli akiwanadi Daniel Nsanzugwako (kulia) anayegombea ubunge kupitia CCM katika Jimbo la Kasulu Mjini na Agustino Zuma Ole anayewania ubunge jimbo la Kasulu Kusini kupitia chama hicho
 Dk Magufuli akimkabidhi Mgombea ubunge Jimbo la  Kasulu Kusini, Agustino Ole Ilani ya Uchaguzi ya CCM wakati wa mkutano huo wa kampeni
 Wananchi wakimrekodi kwa simu Dk Magufuli  alipokuwa akihutubia katika moja ya vijijini wilayani Kibondo leo
 Akina mama na watoto wakigombea picha za Dk Magufuli mjini Kibondo wakati wa mkutano wa kampeni
 Mjumbe wa Kamati ya Kampeni ya CCM, Abdallah Bulembo alkielezea wasifu wa Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk Magufuli katika mkutano wa kampeni mjini Kibondo
 Sehemu ya umati wa wananchi katika mkutano wa kampeni za CCM MJINI Kibondo
 Dk Magufuli akimkabidhi Mgombea ubunge Jimbo la Muhambwe kupitia , Injinia Atashasta Nditie Ilani ya Uchaguzi ya chama hicho
Mratibu wa Magufuli kwa Maslahi kwa Umma Mkoa wa Kigoma, Silvia Sigula (kushoto) na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Kigoma Peter Msangula wakishangilia baada ya kupendezewa na hotuba ya Dk Magufuli katika mkutano wa kampeni mjini Kibondo leo
Next Post Previous Post
Bukobawadau