Bukobawadau

OFISI YA WAZIRI MKUU YAZINDUA MPANGO WA KUJIANDAA NA KUKABILI YA MAAFA KWA WILAYA YA MVOMERO NA KILOSA MKOANI MOROGORO

Mkurugenzi Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brig.Gen, Mbazi Msuya akisisitiza umuhimu wa Mpango wa Kujiandaa na kukabili maafa kwa wilaya ya Kilosa na Mvomero mkoani Morogoro wakati wa Uzinduzi wa mpango huo leo tarehe 3 Septemba, 2015.
 Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Morogoro, Noel Kazimoto akikabidhi mpango wa Kujiandaa na kukabili maafa wilayani Mvomero kwa   Katibu Tawala wilaya ya Mvomero, Veronica Kinyemi wakati wa Uzinduzi wa mpango huo leo tarehe 3 Septemba, 2015, anayeshuhudia ni Mkurugenzi Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brig.Gen, Mbazi Msuya.
Next Post Previous Post
Bukobawadau