Bukobawadau

UHALALI WA MGOMBEA UDIWANI KATA KASHAI

Tume ya Taifa kupitia kwa mkurugenzi wa uchaguzi imedhibitisha kuwa mgombea wa CHADEMA kashai amekubaliwa kuendelea na mchakato,kwamba awali kulikuwa na taarifa za kukinzana kutoka kwao!
 Maelozo kutoka katika website ya tume ya taifa yaliyoleta sintofahamo hapo awali :Tume imepitia vielezo vya mrufani na kujiridhisha rufaa haina msingi. Hivyo Tume imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na wagombea wote wanaendelea na zoezi
 Bwana Nurulhuda A.Kabaju mgombea wa UKAWA kata Kashai.
Bwana Samora A. Lyakurwa mgombea wa CCM kata Kashai,wakati huo  taarifa rasmi zimasema Mgombea udiwani wa kata hiyo kupitia chama cha ACT Wazalendo amejitoa katika kinyang'anyiro hicho kufuatia shinikizo la familia yake.
Next Post Previous Post
Bukobawadau