Bukobawadau

BALOZI KAMALA ATEMBELEA CHUO CHA UFUNDI CHA PARTAGE

Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala akijaribu kutumia randa alipotembelea Chuo cha Ufundi cha Partage. Balozi Kamala amehaidi kusomesha Vijana Kumi kutoka kila Kijiji ndani ya Jimbo la Nkenge katika Vyuo mbalimbali vya Ufundi kwa nia ya kuwawezesha kujiajiri na kuongeza kasi ya kupambana na umasikini. Jimbo la Nkenge lina vijiji 75.
Next Post Previous Post
Bukobawadau