Bukobawadau

KUTOKAMBEYAMJINI‬ - NGOYAI LOWASSA

Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akiongea na wananchi wa Mbeya mjini katika viwanja vya Rwanda-nzovwe jijini Mbeya leo Jumapili 18/10/2015,akiomba kura pamoja na kunadi sera zinazotekelezeka
 #‎Mabadiliko2015‬
 Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akimtambulisha mgombea ubunge jimbo la Mbeya jimbo la Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi Sugu
 #‎KutokaMbeya‬ mgombea urais kupitia CHADEMA kwa tiketi ya UKAWA,Edward Lowassa amewahakikishia wakulima kuwa kama akichaguliwa kuwa rais ataboresha kilimo na kuwa cha kisasa na atafuta ushuru wa mazao na pembejeo na kwamba wakulima watakuwa na uhuru wa kuuza mazao yao nje ya nchi.
Next Post Previous Post
Bukobawadau