Bukobawadau

MKUTANO WA MWAKA CHAMA CHA USHIRIKA CHA AKIBA NA MIKOPO (TADEPA SACCOS)

 Mwenyikiti wa Chama cha Ushirika cha Akiba na Mikopo kilichosajiliwa kwa mujibu wa sheria (TADEPA SACCOS) ,Bi Angela Ngaiza akiongea na wanachama kuhusu taarifa ya bodi kupitia kamati tendaji na mikopo kwa kipindi cha mwezi Januari hadi Septemba 2015
 Afisa wa shirika la bima la taifa,Bw Mashengere Peter akiongea na wanachama


Bw.Mashengere Peter akisikiliza swala kutoka kwa mwanachama wa Chama cha Ushirika cha Akiba na Mikopo (TADEPA SACCOS).
Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii NSSF limeshiriki kwenye mkutano huo,pichani ni Bw.Ally .M. Biki Afisa matekelezo  NSSF  Mkoa Kagera.
 Baadhi ya wanachama waliohudhuria Mkutano wa mwaka wa Chama cha ushirika wa Akiba na mikopo kilichosajiliwa kwa mujibu wa sheria (TADEPA SACCOS) uliofanyika katika ukumbi wa St Francis Mjini Bukoba ,Wanachama wa SACCOS  hiyo sasa wanaweza kujiunga na  kunufaika na Mifuko wa Afya ya Jamii (CHF) na (NSSF)
 Mwl Bishanga  mjumbe wa mkutano akitolea jambo ufafanuzi.
 Kushoto ni Dr Jonathan Stephen Mkurugenzi mtendaji (TADEPA)
 Wanachama wakimsikiliza kwa makini Afisa matekelezo wa shirika la Mifuko ya Afya (NHIF)
Afisa wa Shirika lisilo la Kiserikali la Mtandao wa Mifuko ya Afya (NHIF) Bw Benard Katerengabo akielezea umuhimu wa kujiunga na  Bima ya Afya
 Mwakilishi wa Mgeni Rasmi kutoka Bank ya CRDB tawi la Bukoba Bw Kabuga pichani kushoto na Bwana Obadia Kyaka  Afisa Ushirika wa Manispaa Bukoba pichani
Swali kutoka kwa mjumbe wa mkutano
Mc Muongozaji wa Mkutano huo Bi Joyce Lubozi akiwajibika
 Pichani kulia ni Afisa wa shirika la bima la taifa,Bw Mashengere Peter akiagana na mwenyekiti wa (TADEPA SACCOS) Bi Angela Ngaiza
Wawakilishi wa Shirika lisilo la Kiserikali la Mtandao wa Mifuko ya Afya(NHIF), wakiagana na Bi Angela Ngaiza Mwenyekiti  Mwenyekiti wa Chama cha Ushirika cha Akiba na Mikopo (Tadepa Savings and Credit Cooperative Society Limited)

Next Post Previous Post
Bukobawadau