Bukobawadau

Tanzia: Prince Baina Kamukulu afariki dunia

Mtangazaji maarufu nchini Tanzania Prince Baina Kamukulu amefariki dunia leo alfajiri.
Kamukulu amefariki dunia katika hospitali ya Kigamboni jijini Dar es salaam  ambapo taarifa za awali zinadai kuwa alianguka akiwa mazoezini kisha kukimbizwa katika hospitali hiyo jana usiku.

Kamukulu aliwahi kuwa Mtangazaji wa Kipindi cha Afrika Bambataa cha Clouds Fm,pia amewahi kufanya kazi Star Tv ,Radio Free Africa na Radio 5 Arusha.

R.I.P Kamukulu
Next Post Previous Post
Bukobawadau