Bukobawadau

Benki ya NMB yashinda nafasi ya kwanza Tuzo za NBAA kwa mabenki Tanzania

Mkuu wa Idara ya Fedha wa Benki ya NMB, Veronica Pascal (wa pili kushoto) akipokea tuzo kwa niaba ya NMB toka kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dk. Hamisi Mwinyimvua baada ya kuibuka washindi wa kwanza kwa kuwa na hati safi ya taarifa za fedha kwa upande wa mabenki nchini katika ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. Tuzo hizo zilitolewa jana Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania. Jumla ya makampuni na taasisi 58 zilishiriki katika kinyang'anyiro hicho cha ukaguzi wa taarifa za fedha kwa hiyari. Mkuu wa Idara ya Fedha wa Benki ya NMB, Veronica Pascal (wa pili kushoto) akipokea tuzo kwa niaba ya NMB toka kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dk. Hamisi Mwinyimvua baada ya kuibuka washindi wa kwanza kwa kuwa na hati safi ya taarifa za fedha kwa upande wa mabenki nchini katika ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. Tuzo hizo zilitolewa jana Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania. Jumla ya makampuni na taasisi 58 zilishiriki katika kinyang'anyiro hicho cha ukaguzi wa taarifa za fedha kwa hiyari.


Mkuu wa Idara ya Fedha wa Benki ya NMB, Veronica Pascal (wa pili kushoto) akipokea tuzo kwa niaba ya NMB toka kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dk. Hamisi Mwinyimvua baada ya kuibuka washindi wa kwanza kwa kuwa na hati safi ya taarifa za fedha kwa upande wa mabenki nchini katika ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. Tuzo hizo zilitolewa jana Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania. Jumla ya makampuni na taasisi 58 zilishiriki katika kinyang'anyiro hicho cha ukaguzi wa taarifa za fedha kwa hiyari.
Mkuu wa Idara ya Fedha wa Benki ya NMB, Veronica Pascal (wa pili kushoto) akipokea tuzo kwa niaba ya NMB toka kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dk. Hamisi Mwinyimvua baada ya kuibuka washindi wa kwanza kwa kuwa na hati safi ya taarifa za fedha kwa upande wa mabenki nchini katika ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. Tuzo hizo zilitolewa jana Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania. Jumla ya makampuni na taasisi 58 zilishiriki katika kinyang'anyiro hicho cha ukaguzi wa taarifa za fedha kwa hiyari.

Wawakilishi wa Benki ya NMB, Veronica Pascal (kushoto) akipiga picha ya ukumbusho mara baada ya kupokea tuzo kwa niaba ya NMB baada ya kuibuka washindi wa kwanza kwa kuwa na hati safi ya taarifa za fedha kwa upande wa mabenki nchini katika ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. Tuzo hizo zilitolewa jana na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania. Wawakilishi wa Benki ya NMB, Veronica Pascal (kushoto) akipiga picha ya ukumbusho mara baada ya kupokea tuzo kwa niaba ya NMB baada ya kuibuka washindi wa kwanza kwa kuwa na hati safi ya taarifa za fedha kwa upande wa mabenki nchini katika ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. Tuzo hizo zilitolewa jana na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania.Mkuu wa Idara ya Fedha wa Benki ya NMB, Veronica Pascal (katikati) akibadilishana mawazo na baadhi ya wawakilishi kutoka baadhi ya makampuni na taasisi zilizoshiriki kupokea tuzo za washindi wa hati safi za taarifa za fedha kwa makampuni na idara anuai nchini katika ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. Mkuu wa Idara ya Fedha wa Benki ya NMB, Veronica Pascal (katikati) akibadilishana mawazo na baadhi ya wawakilishi kutoka baadhi ya makampuni na taasisi zilizoshiriki kupokea tuzo za washindi wa hati safi za taarifa za fedha kwa makampuni na idara anuai nchini katika ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014.Mgeni rasmi, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua (kulia) akizungumza katika hafla ya kutoa tuzo kwa makampuni na taasisi zilizofanya vizuri katika ukaguzi wa taarifa za fedha kwa makampuni na idara anuai nchini katika shindano la ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. Jumla ya makampuni na taasisi 58 zilishiriki katika kinyang'anyiro hicho cha ukaguzi wa taarifa za fedha kwa hiyari. Mgeni rasmi, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua (kulia) akizungumza katika hafla ya kutoa tuzo kwa makampuni na taasisi zilizofanya vizuri katika ukaguzi wa taarifa za fedha kwa makampuni na idara anuai nchini katika shindano la ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. Jumla ya makampuni na taasisi 58 zilishiriki katika kinyang'anyiro hicho cha ukaguzi wa taarifa za fedha kwa hiyari.Mhasibu Mkuu Chuo Kikuu cha Kanisa Katoliki katika Afya na Tiba Bugando Boniface Kwiyeya (kushoto) akipokea tuzo kwa niaba ya chuo hicho toka kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua baada ya chuo hicho kuibuka washindi wa kwanza kwa hati safi ya taarifa za fedha kwa upande wa vyuo nchini katika ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. Tuzo hizo zimetolewa jana Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania. Mhasibu Mkuu Chuo Kikuu cha Kanisa Katoliki katika Afya na Tiba Bugando Boniface Kwiyeya (kushoto) akipokea tuzo kwa niaba ya chuo hicho toka kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua baada ya chuo hicho kuibuka washindi wa kwanza kwa hati safi ya taarifa za fedha kwa upande wa vyuo nchini katika ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. Tuzo hizo zimetolewa jana Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania.Mhasibu Mkuu Chuo Kikuu cha Kanisa Katoliki katika Afya na Tiba Bugando Boniface Kwiyeya (wa pili kushoto) akipokea tuzo kwa niaba ya chuo hicho toka kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua baada ya chuo hicho kuibuka washindi wa kwanza kwa hati safi ya taarifa za fedha kwa upande wa vyuo nchini katika ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. Tuzo hizo zimetolewa jana Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania. Mhasibu Mkuu Chuo Kikuu cha Kanisa Katoliki katika Afya na Tiba Bugando Boniface Kwiyeya (wa pili kushoto) akipokea tuzo kwa niaba ya chuo hicho toka kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua baada ya chuo hicho kuibuka washindi wa kwanza kwa hati safi ya taarifa za fedha kwa upande wa vyuo nchini katika ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. Tuzo hizo zimetolewa jana Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania.Mkuu wa Idara ya Fedha wa Benki ya NMB, Veronica Pascal (katikati) akibadilishana mawazo na baadhi ya wawakilishi kutoka baadhi ya makampuni na taasisi zilizoshiriki kupokea tuzo za washindi wa hati safi za taarifa za fedha kwa makampuni na idara anuai nchini katika ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. Mkuu wa Idara ya Fedha wa Benki ya NMB, Veronica Pascal (katikati) akibadilishana mawazo na baadhi ya wawakilishi kutoka baadhi ya makampuni na taasisi zilizoshiriki kupokea tuzo za washindi wa hati safi za taarifa za fedha kwa makampuni na idara anuai nchini katika ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014.Wawakilishi wa makampuni yalioshika nafasi za kwanza kwa kuwa na hati safi za taarifa za fedha nchini katika shindano la ukaguzi wa taarifa za fedha uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014 wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua mara baada ya kukabidhiwa tuzo hizo zilitolewa jana Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania. Jumla ya makampuni na taasisi 58 zilishiriki katika kinyang'anyiro hicho cha ukaguzi wa taarifa za fedha kwa hiyari.Baadhi ya wawakilishi wa makampuni na taasisi zilizoshiriki katika mashindano ya ukaguzi wa taarifa za fedha za makampuni yao uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014 wakiwa katika hafla ya kupokea tuzo zao toka kwa mgeni rasmi, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua (wa pili kulia) jana Bunju jijini Dar es Salaam katika kituo cha mikutano cha Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania. Jumla ya makampuni na taasisi 58 zilishiriki katika kinyang'anyiro hicho cha ukaguzi wa taarifa za fedha kwa hiyari. Baadhi ya wawakilishi wa makampuni na taasisi zilizoshiriki katika mashindano ya ukaguzi wa taarifa za fedha za makampuni yao uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014 wakiwa katika hafla ya kupokea tuzo zao toka kwa mgeni rasmi, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua (wa pili kulia) jana Bunju jijini Dar es Salaam katika kituo cha mikutano cha Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania. Jumla ya makampuni na taasisi 58 zilishiriki katika kinyang'anyiro hicho cha ukaguzi wa taarifa za fedha kwa hiyari.Wawakilishi wa makampuni yalioshika nafasi za kwanza kwa kuwa na hati safi za taarifa za fedha nchini katika shindano la ukaguzi wa taarifa za fedha uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014 wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua mara baada ya kukabidhiwa tuzo hizo zilitolewa jana Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania. Jumla ya makampuni na taasisi 58 zilishiriki katika kinyang'anyiro hicho cha ukaguzi wa taarifa za fedha kwa hiyari. Wawakilishi wa makampuni yalioshika nafasi za kwanza kwa kuwa na hati safi za taarifa za fedha nchini katika shindano la ukaguzi wa taarifa za fedha uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014 wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua mara baada ya kukabidhiwa tuzo hizo zilitolewa jana Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania. Jumla ya makampuni na taasisi 58 zilishiriki katika kinyang'anyiro hicho cha ukaguzi wa taarifa za fedha kwa hiyari.Baadhi ya wawakilishi wa makampuni na taasisi zilizoshiriki katika mashindano ya ukaguzi wa taarifa za fedha za makampuni yao uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014 wakipokea tuzo zao toka kwa mgeni rasmi, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua (wa pili kulia) jana Bunju jijini Dar es Salaam katika kituo cha mikutano cha Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania. Baadhi ya wawakilishi wa makampuni na taasisi zilizoshiriki katika mashindano ya ukaguzi wa taarifa za fedha za makampuni yao uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014 wakipokea tuzo zao toka kwa mgeni rasmi, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua (wa pili kulia) jana Bunju jijini Dar es Salaam katika kituo cha mikutano cha Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania.Kutoka kushoto ni Meneja wa Fedha wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Godlove Michael Mville, Ofisa Uhusiano TTCL, Edwin Mashasi na Ofisa kutoka Idara ya Fedha TTCL, Allan Peter Ngowi wakiwa kwenye hafla ya kupokea tuzo kwa makampuni na taasisi zilizofanya vizuri katika ukaguzi wa taarifa za fedha kwa makampuni na idara anuai nchini katika shindano la ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. TTCL pia ilitwaa tuzo kwa kufanya vizuri katika taarifa za fedha. Kutoka kushoto ni Meneja wa Fedha wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Godlove Michael Mville, Ofisa Uhusiano TTCL, Edwin Mashasi na Ofisa kutoka Idara ya Fedha TTCL, Allan Peter Ngowi wakiwa kwenye hafla ya kupokea tuzo kwa makampuni na taasisi zilizofanya vizuri katika ukaguzi wa taarifa za fedha kwa makampuni na idara anuai nchini katika shindano la ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. TTCL pia ilitwaa tuzo kwa kufanya vizuri katika taarifa za fedha.Katibu Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA), Pius Maneno akizungumza katika hafla ya kutoa tuzo kwa makampuni na taasisi zilizofanya vizuri katika ukaguzi wa taarifa za fedha kwa makampuni na idara anuai nchini katika shindano la ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014. Katibu Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA), Pius Maneno akizungumza katika hafla ya kutoa tuzo kwa makampuni na taasisi zilizofanya vizuri katika ukaguzi wa taarifa za fedha kwa makampuni na idara anuai nchini katika shindano la ukaguzi uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014.Baadhi ya wawakilishi wa makampuni na taasisi zilizoshiriki katika mashindano ya ukaguzi wa taarifa za fedha za makampuni yao uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014 wakiwa katika hafla ya kupokea tuzo zao toka kwa mgeni rasmi, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua (wa pili kulia) jana Bunju jijini Dar es Salaam katika kituo cha mikutano cha Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania. Jumla ya makampuni na taasisi 58 zilishiriki katika kinyang'anyiro hicho cha ukaguzi wa taarifa za fedha kwa hiyari. Baadhi ya wawakilishi wa makampuni na taasisi zilizoshiriki katika mashindano ya ukaguzi wa taarifa za fedha za makampuni yao uliofanywa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa mwaka 2014 wakiwa katika hafla ya kupokea tuzo zao toka kwa mgeni rasmi, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dk. Hamisi Mwinyimvua (wa pili kulia) jana Bunju jijini Dar es Salaam katika kituo cha mikutano cha Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania. Jumla ya makampuni na taasisi 58 zilishiriki katika kinyang'anyiro hicho cha ukaguzi wa taarifa za fedha kwa hiyari. *Imeandaliwa na www.thehabari.com
Next Post Previous Post
Bukobawadau