Bukobawadau

THE BURIAL CEREMONY OF PRINCESS VERDIANA MARIA MBONEKO AT GERA, 11TH JANUARY, 2016

 Muonekano wa Jeneza lenye mwili warehemu Omwana Verdiana Maria Mboneko (96)
Misa ya Mazishi ya Omwana Verdiana Maria Mboneko imefanyika jana Jumatatu nyumbani kwake Kijijini Gera Missenyi majira ya saa 9 alasiri

Mazishi hayo yameudhuriwa na viongozi wengi wa Dini, Serikali na wa vyama Imeongozwa na Askofu Msaidizi wa Jimbo la Bukoba, Methodius Kilaini
Bukobawadau Media tunakufikishia matukio ya picha 120 na sehemu ya Video yaliyojiri katika Ibada hiyo 
Ni ibada yenye majonzi na yenye furaha kwa kuwa Omwana Verdiana Maria Mboneko aliyekuwa na umri wa miaka 96 amelala katika imani na ataupata uzima wa milele.
 Waumini wa kikatoliki wakiendelea na Ibada ya mazishi ya Omwana Verdiana Maria Mboneko
Umati mkubwa wa watu walioshiriki Ibada ya maziko ya Mpendwa wetu Omwana Verdiana Maria Mboneko wa Kijijini Gera.
Sehemu ya wadau wakiendelea na Ibada hiyo
 Baadhi ya wajukuu wa Marehemu Omwana Verdiana Maria Mboneko wakiendelea kushiriki Ibada
Taswira mbalimbali Waumini wa Kikatoliki na Waombolezaji wakishiriki Ibada ya maziko
Muendelezo wa matukio ya picha Shughuli ya Ibada ikiendelea
Marehemu ameacha watoto 7 Pichani  yupo Guru Singh,Gurdip Singh ,Rajinda Singh,Catherine Singh,Nerry Singh,Conso na Amba Singh.
Taswira mbalimbali wakati Ibada ya mazishi ikiendelea
Mama Salum na Mama Pavy pichani ni sehemu ya waombolezaji
Timu nzima ya Bukobawadau tunatoa pole sana kwa ndugu wa familia na watoto wa Marehemu kuondokewa na mama mzazi mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi Amen!!
Ibada ya maziko ikiendelea
Bi Anitha Mtensa   akiendelea kushiriki Ibada hiyo.
 Ndugu Joshua akielekea kutoa heshima zake za mwisho
Ndugu Baruti akiekelekea kutoa heshima zake mwisho
Aunt nae akishiriki kumuaga  mpendwa Omwana Verdiana Maria Mboneko
Bwana Hamimu Mahamud akiekea kutoa heshima zake za mwisho
 Mzee Sorta akielekea kutoa heshima za mwisho kwa marehemu Omwana Verdiana Maria Mboneko
Ndugu na jamaa na marafiki wakitoa heshima zao za mwisho
Wajukuu wa marehemu wakati wakitoa heshima zao za mwisho
Zamu ya wajukuu kutoa heshima za mwisho kwa Bibi yao mpendwa
Mr.Lalan akishiriki zoezi la kutoa heshima za mwisho kumuaga Omwana Verdiana Maria Mboneko
 Simanzi kwa BiJeanifer Murungi Kichwabuta rafiki wa familia
Mr Optaty Henry akitoa heshima za mwisho 
 Ndugu Cathbert Basibila wakati wa kutoa heshima za mwisho
Ndugu Divo Rugaibula pichani na Ndugu Siraji Kichwabuta
 Kushoto ni Omwana Omwana Florida Lutinwa na Omwami kazi Apolonia Lutinwa (katikati)
Ibada ikiendelea
Wanakwaya wakiimba nyimbo za mapambio
Pichani kushoto ni Mama Justuce Rugaibula
Baadhi wa waombolezaji wakati Ibada inaendelea
 Wajukuu wa Marehemu Omwana Verdiana Maria Mboneko wakisoma historia
Ms Lina ambaye ni mjukuu wa Marehemu  akiendelea kusoma historia  kwa ufupi .
Matukio ya picha zaidi ya 200 yanaatikana katika ukurasa wetu wa facebook
Jeneza likiwa juu ya kaburi
Ni Simanzi kubwa na Vilio kwa watoto wa marehemu wakati Jeneza likiingizwa Kaburini
Hakika ni hali ya simanzi
Nyuso za huzuni kwa waombolezaji
Machozi ya kiwatoka watoto wa Omwana Verdiana Maria Mboneko
Safari ya mwisho ya Maisha ya Omwana Verdiana Maria Mboneko
 Jeneza likiingizwa kaburini kwa mashine maalum.
 Macho ya umati wa waombolezaji wakifuatilia namna Jeneza linavyo ingizwa kaburini
 Askofu Kilaini akiongoza zoezi la kuweka Udongo
 Watoto wa Marehemu Omwana Verdiana Maria Mboneko wakirusha maua kaburini na kuweka Udongo
 Watoto wa kuzaliwa na aOmwana Verdiana Maria Mboneko wakiweka maua na Udongo kaburini
Mlangira Mzee Rugaibula mara baada ya kuweka Udongo
Utaratibu wa kuweka Udongo ukiendelea
 Kifo cha Shangazi yake mlezi kimemsikitisha sana Mlangira Ben Kataruga pichani ,anasema kwamba ;''Omwana Verdiana Maria Mboneko pamoja na kuugua kwa muda mrefu lakini hadi anafariki dunia alisisitiza umoja kwa wanafamilia''
Askofu Kilaini akiwa tayari kusimka msalaba kwenye kaburi
 Askofu Msaidizi wa Jimbo la Bukoba, Methodius Kilaini
 Mlangira Ben Kataruga akiwa tayari kuweka shada la maua kwenye kaburi la Shangazi yake Mpendwa Omwana Verdiana Maria Mboneko
 Mlangira Ben Kataruga akiweka shada la maua
 Endelea kuwa nasi kwa Matukio zaidi ya picha na sehemu ya Video
 Zoezi la kuweka mashada ya maua likiendelea kwa Wanafamilia.
 Eng Christopher rafiki wa familia akielekea kuweka shada la Maua
 Eng. Christopher  kutoka Jijini Dar akiweka shada la maua kwenye kaburi la mpendwa wetu Omwana Verdiana Maria Mboneko
Dk Venant Mboneko  mtoto wa Marehemu akitoa utambulisho.
 Dk Venant Mboneko kwa wanafamilia ya Marehemu Omwana Verdiana Maria Mboneko
 Kutoka Jijini Mwanza anaitwa Frola akitolea jambo ufafanuzi ,kushoto kwake ni Mc muongozaji wa Shughuli ya mazishi hayo Mr Rutakwa
 Bi Flora akiendelea kutolea jambo ufafanuzi
Rambirambi kutoka kwa wawakilishi wa Parokia teule ya Rwamishenye
 Mtoto wa marehemu Omwana Verdiana Maria Mboneko akipokea rambirambi
Ndugu Medad akitoa neno kwa niaba ya wawakilishi wa Parokia teule ya Rwamishenye Bukoba
 Salaam za rambirambi kutoka Karagwe
 Salaam za rambirambi kwa wanafimilia kutoka Moshi wakiweka shada la maua kutoka kushoto ni Mr Barnabas,Mr.Mashalaa na Mr .Joseph
Ndugu Majid Kichwabuta na Ndugu Haruna Goronga wakisikilizana
Wawakilishi kutoka Moshi wakiweka shada la maua kutoka kushoto ni Mr Barnabas,Mr.Mashalaa na Mr .Joseph
Wawakilisahi Parokia teule ya Rwamishenye wakiweka shada la maua
 Baba Askofu Kilaini akitoa mahubiri ya mwisho
Wajukuu wakiweka mishumaa kwenye kaburi la Bibi yao Mpendwa
Muendelezo wa tukio ya picha
Kamati ya mapokezi yupo Bwana Matunda kama anavyo onekana pichani katika kuwajibika
 Sehemu ya waombolezi wakiendelea kumiminika kwa wingi kushiri mazishi ya Omwana Verdiana Maria Mboneko
Huduma ya Chakula ikiendelea.
Kijana khalid Kaitaba pichani kushoto na Mama yake mzazi 
Maandalizi ya Msosi
Dk Venus Mboneko pichani na Ms Lina
 Ndugu Ismail akiteta jambo na Dk. Venus Mboneko
Muonekano wa Sehemu ya maegesho 
Mlangira Kataruga pichani mara baada ya Shughuli ya mazishi 
 Baadhi ya wajukuu
Ndugu Baina Nshekya pichani 
BUKOBAWADAU Media tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241
Wakati Bw. Didaz Zimbile na Hamim Mahamudu wakifika kijijini hapo kushiriki shughuli ya maziko
Kuelekea mwisho wa matukio kupitia Bukobawadau Media 
Katika hili na lile Mr Divo Rugaibula na Baba yake Mzazi Mlangira Mzee Rugaibula (Katikati pichani)
Mdau Bushira katika kuwajibika
Mdau Mkazi wa Gera akicheck na Camera yetu
Mlangira Ben Kataruka katika picha na marafiki zake walifika kumfariji ,katikati ni Al Amin Abdul na kulia ni Yusuph Wastara
Mlangira Ben Katauga na Swahiba yake Ndugu Yunus Kabyemela
Wadau wakibadilishana mawazo
Mlangira Mzee Rugaibula akifurahia jambo na Mlangira Ben Kataraga mara baada ya maziko
Mdau Ruga Baruti
Sehemu ya Waombolezaji pichani

CHECK THE VIDEO BELOW THE BURIAL CEREMONY OF PRINCESS VERDIANA MARIA MBONEKO AT GERA, 11TH JANUARY, 2016 WHO DIED AT THE AGE OF 96

R.I.P PRINCESS VERDIANA MARIA MBONEKO
Next Post Previous Post
Bukobawadau